Je, fedha zitaweza kuipasua CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 kabla ya uchaguzi mkuu.?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwa sasa huwezi kumwambia kitu mtanzania yoyote mwenye kiu ya mabadiliko na mwenye chuki dhidi ya ufisadi na uharamia juu ya CHADEMA. Ndio chama pekee ambacho kitawaletea ukombozi watanzania kama mambo hayatabadilika.

Kuna dalili kubwa inayofanya watu kuwa na tashwishi ya kujua je, yale ya mwaka 2015 ambapo pesa za mlungula zilipelekea Lowassa (RIP) akapewa kijiti cha kugombea usiku usiku. Dk Wilbroad Slaa akapigwa na butwaa mbele ya Prof Safari.

Watu wanapata hofu na kuhoji. Je, mlungula utapakipasua Chadema. Kama enzi zile za Mbowe.
 
gentleman,

In fact ufisadi wa mwenye tamaa makamu mwenyekiti wa chadema taifa tayari umekiumiza, umekijeruhi na kukidhuru chama hicho vibaya sana.

Na hata waliokusudia kuichangia chadema kwasasa , bilashaka yoyote watakua wamesita kufanya hivyo kwa wakati huu, kutokana na hali ya sintofahamu juu ya matumizi ya fedha za wadau na wafaddhili wa chadema zinazotumika kuwakomboa kiuchumi viongozi wa chadema taifa kibinafsi na familia zao.

Hatua muafaka ya angalau kukipa nafuu chama, ni kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa dharura kuwatimua uongozini kibaraka lisu na fisadi heche, na kuwathibitisha kaimu mwenyekiti na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa wengine, watakaohidumu mpaka muda wa uchaguzi rasmi wa chama utakapowadia.

Otherwise,
chadema imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikundi cha kigaidi, na genge la mafisadi miongoni mwa vyama vya siasa nchini 🐒
 
Chadema ni mpango wa Mungu hawataweza kuivunja
 
Kamwe hakipasuki, Bahati nzuri Chama tawala kilileta shule za Kata,hiyo ndio kete ya ufundi, Maana vijana wamesoma hizo Hadi vyuo vya nje na kupata exposure na Hii technologia ya habari Iko juu!
 
gentleman,

In fact ufisadi wa mwenye tamaa makamu mwenyekiti wa chadema taifa tayari umekiumiza, umekijeruhi na kukidhuru chama hicho vibaya sana.

Na hata waliokusudia kuichangia chadema kwasasa , bilashaka yoyote watakua wamesita kufanya hivyo kwa wakati huu, kutokana na hali ya sintofahamu juu ya matumizi ya fedha za wadau na wafaddhili wa chadema zinazotumika kuwakomboa kiuchumi viongozi wa chadema taifa kibinafsi na familia zao.

Hatua muafaka ya angalau kukipa nafuu chama, ni kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa dharura kuwatimua uongozini kibaraka lisu na fisadi heche, na kuwathibitisha kaimu mwenyekiti na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa wengine, watakaohidumu mpaka muda wa uchaguzi rasmi wa chama utakapowadia.

Otherwise,
chadema imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikundi cha kigaidi, na genge la mafisadi miongoni mwa vyama vya siasa nchini 🐒
Umeyakanyaga,jua linapozama ni bila,bila,Amandlaa!
 
sawa gentleman 🤣
Mimi sio shabiki wa chama chochote,ila ninayoyaona sio, kwetu zamani,ukizungumzia Upinzani, wananchi walikuwa wanaweza hata kukuchoma Moto,hivi Sasa wanatamani hata Leo CCM utoke,nimeshangaa sana!
 
Pokea maua Yako Kwa kuipambania CCM,hutokaa ukapata stress,SI kwa mikuki Hii ya wananchi!
mi nipo hapa,
naendelea vizuri tu kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu jukwaani,

ama kuna changamoto gentleman?
ni vizuri kuambiana ukweli bana, kwasababu sisi sote ni watoto wa mama Tanzania. Tupendane 🐒
 
Back
Top Bottom