Je Forensic Investigation Inaweza Kugundua Maandishi Yaliyobadilishwa?

Je Forensic Investigation Inaweza Kugundua Maandishi Yaliyobadilishwa?

Malyenge ,
Mkuu, Forensic science siyo kitu cha kisportsport Aiseee.

Sikia hilo swali lako na ulichouliza ni cha mtoto.

Iko hivi , hata kama ukichomo moto nikipata yale majivu ya hizo karatasi tu mzigo wote uliyokuwa umeandikwa kabla ya kuchomwa unarudishwa na unakuwa kama mwanzo.

Sasa , kwenye soft copy ndiyo rahisi kama vile kumsukuma mlevi kwenye mtelemko.

Kwa kifupi elewa tu kuwa, Forensic Science ni swala mtambuka inapokuja kwenye issues za investigations.
Uongo
 
Back
Top Bottom