Malyenge ,
Mkuu, Forensic science siyo kitu cha kisportsport Aiseee.
Sikia hilo swali lako na ulichouliza ni cha mtoto.
Iko hivi , hata kama ukichomo moto nikipata yale majivu ya hizo karatasi tu mzigo wote uliyokuwa umeandikwa kabla ya kuchomwa unarudishwa na unakuwa kama mwanzo.
Sasa , kwenye soft copy ndiyo rahisi kama vile kumsukuma mlevi kwenye mtelemko.
Kwa kifupi elewa tu kuwa, Forensic Science ni swala mtambuka inapokuja kwenye issues za investigations.