Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
hili la madiwani wa viti maalum limewauma kweli kweli, na bado dhambi hii itawatafuna vibaya mno wote mlioshiriki dhambi hii ya kuubaka uchaguzi mkuu uliopita..
 
Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?

Ni hako kaswali tu makamanda.

Maendeleo hayana vyama!
Mbowe huyu huyu ambaye kila siku jiwe kwa kumtumia DC sabaya anatafuta namna ya kumuangamiza iwe kibiashara au kiuhai au kuna mbowe mwiingine?
 
Back
Top Bottom