Je, Freeman Mbowe ndiye Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

😂😂😂😂

Kumtupa ndani Padre siyo jambo dogo 🐼
1000019094.jpg
 
SIjuhi ccm wanampendea nini huyu jamaa
Wanamtumia kuikata upepo Chadema ili wapate wepesi,huko CCM kuna fukuto siyo la kitoto ni vile halivumi kama la huku Chadema. CCM wako kwenye dilemma, Samia hatakiwi kabisa hasa huko Kanda ya ziwa na ujue huko ndiyo kuna kura nyingi watu wako tayari wampe kura Lissu kama atapitishwa kugombea urais na CCM wakimpitisha Samia ndiyo unaona huu uswahiba wa Chief Hangaya na Sultan kumbolck Lissu. Mambo ni 🔥 huko mboga mboga.
 
Tangu lini CCM wakategemea kura yako ? Akishapitishwa na chama imeisha hiyo ..sema wanamuogopa Lissu akiwa mwenyekiti ule mdomo wake alijaaliwa kuutumia vizuri ref. Kikwete alikiri
 
Back
Top Bottom