Je, Freeman Mbowe ndiye Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Je, Freeman Mbowe ndiye Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kwa sababu siyo tishio kwa Samia kwenye uchaguzi ujao.
 
Wanamtumia kuikata upepo Chadema ili wapate wepesi,huko CCM kuna fukuto siyo la kitoto ni vile halivumi kama la huku Chadema. CCM wako kwenye dilemma, Samia hatakiwi kabisa hasa huko Kanda ya ziwa na ujue huko ndiyo kuna kura nyingi watu wako tayari wampe kura Lissu kama atapitishwa kugombea urais na CCM wakimpitisha Samia ndiyo unaona huu uswahiba wa Chief Hangaya na Sultan kumbolck Lissu. Mambo ni 🔥 huko mboga mboga.

Nilipokua mdogo nami nilikua nadhania CCM inahitaji kura ili kuendelea kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom