Je, Freeman Mbowe ndiye Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kwa Sasa Nguvu za Freeman Mbowe zinataka kuimeza na CCM

Je huyu ndio Rais wa JMT mtarajiwa?

Kwako Uncle Makongoro Nyerere ๐Ÿ˜‚

Sabato Njema ๐ŸŒน
Hivi katika wanyama ambao wasabato hawaruhusiwi kula, na mbwa yumo?
 
SIjuhi ccm wanampendea nini huyu jamaa
Wanamtumia kuikata upepo Chadema ili wapate wepesi,huko CCM kuna fukuto siyo la kitoto ni vile halivumi kama la huku Chadema. CCM wako kwenye dilemma, Samia hatakiwi kabisa hasa huko Kanda ya ziwa na ujue huko ndiyo kuna kura nyingi watu wako tayari wampe kura Lissu kama atapitishwa kugombea urais na CCM wakimpitisha Samia ndiyo unaona huu uswahiba wa Chief Hangaya na Sultan kumbolck Lissu. Mambo ni ๐Ÿ”ฅ huko mboga mboga.
 
Kwa Sasa Nguvu za Freeman Mbowe zinataka kuimeza na CCM

Je huyu ndio Rais wa JMT mtarajiwa?

Kwako Uncle Makongoro Nyerere ๐Ÿ˜‚

Sabato Njema ๐ŸŒน
Ingekuwa bora kama jina la Makongoro Nyerere lingeondolewa hapo.
Makongoro hapo ametajwa bila sababu.
 
Tangu lini CCM wakategemea kura yako ? Akishapitishwa na chama imeisha hiyo ..sema wanamuogopa Lissu akiwa mwenyekiti ule mdomo wake alijaaliwa kuutumia vizuri ref. Kikwete alikiri
 
Tangu lini CCM wakategemea kura yako ? Akishapitishwa na chama imeisha hiyo ..sema wanamuogopa Lissu akiwa mwenyekiti ule mdomo wake alijaaliwa kuutumia vizuri ref. Kikwete alikiri
Kuna majira na nyakati.
 
Kwa Sasa Nguvu za Freeman Mbowe zinataka kuimeza na CCM

Je huyu ndio Rais wa JMT mtarajiwa?

Kwako Uncle Makongoro Nyerere ๐Ÿ˜‚

Sabato Njema ๐ŸŒน
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ