Wanamtumia kuikata upepo Chadema ili wapate wepesi,huko CCM kuna fukuto siyo la kitoto ni vile halivumi kama la huku Chadema. CCM wako kwenye dilemma, Samia hatakiwi kabisa hasa huko Kanda ya ziwa na ujue huko ndiyo kuna kura nyingi watu wako tayari wampe kura Lissu kama atapitishwa kugombea urais na CCM wakimpitisha Samia ndiyo unaona huu uswahiba wa Chief Hangaya na Sultan kumbolck Lissu. Mambo ni ๐ฅ huko mboga mboga.
Mzee Mgร ya wakati mwingine ร nakuwa kama Pierre Liquid.Umejawa na upuuzi mwingi sana Jo
๐ ๐ ๐๐unataka awe rais wa kudumu non stop๐Kwa Sasa Nguvu za Freeman Mbowe zinataka kuimeza na CCM
Je huyu ndio Rais wa JMT mtarajiwa?
Kwako Uncle Makongoro Nyerere ๐
Sabato Njema ๐น
Haahaa eti wote wameongoza miaka 20๐๐๐team mbowe maji ya shingoWapiga kampeni wa Mbowe wanapigwa spana ile mbaya๐คฃ๐๐
View: https://youtu.be/f8ntIjb1I2c?si=BlsRzKpRP6iB6pES
Wako radhi kusema uongo.Haahaa eti wote wameongoza miaka 20๐๐๐team mbowe maji ya shingo