Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
jana nilikua sehemu na mtu wa FoS ,Jjama kama wamepanic,hasa kuondolewa wote ktk boardNawaambia wadau wa soka hasa mashabiki wa Simba, msiende na matokeo mfukoni kwenye gemu na Vipers, mm ninawahofia sana hao marafiki wa Simba, hao wakiamua lao hawashindwi.
Kama uongozi haujaelewana nao hadi leo basi wafanye hima wakayamalize otherwise mchezo na Vipers utakuwa mgumu sana.Mwisho, mtawatukana wachezaji wazee, cjui hawajitumi, cjui Mgunda anahujumu timu, cjui Robertinho sio kocha na kila aina ya ujinga.
Simba ni nguvu moja, ikikosekana hiyo hata tudhikiri uchi ushindi haupatikani.
Ngoja wafungwe na Yanga ili uongozi uparanganyikeNawaambia wadau wa soka hasa mashabiki wa Simba, msiende na matokeo mfukoni kwenye gemu na Vipers, mm ninawahofia sana hao marafiki wa Simba, hao wakiamua lao hawashindwi.
Kama uongozi haujaelewana nao hadi leo basi wafanye hima wakayamalize otherwise mchezo na Vipers utakuwa mgumu sana.Mwisho, mtawatukana wachezaji wazee, cjui hawajitumi, cjui Mgunda anahujumu timu, cjui Robertinho sio kocha na kila aina ya ujinga.
Simba ni nguvu moja, ikikosekana hiyo hata tudhikiri uchi ushindi haupatikani.
Friends of Simba: Starting XI:Nawaambia wadau wa soka hasa mashabiki wa Simba, msiende na matokeo mfukoni kwenye gemu na Vipers, mm ninawahofia sana hao marafiki wa Simba, hao wakiamua lao hawashindwi.
Kabla ya Mo mhindi ni lini Simba ilikuwa na mafanikio na ambayo yaliletwa na ngozi nyeusi? Mapungufu ya Mo sio ya kumwandika kama upuuzi ulioandika.Mo na Utajiri wake wa CNN huyu jamaa miyeyusho sana aisee.Hapo watalaumiwa akina mangungu na try Again ila Virus ni Mo.Ndo maana Idd Amini alivochukuwa Uganda alifukuza wahindi wakakimbilia Canada sio India.
Kwani shinikizo la Friends of Simba ni lipi hasa?Nawaambia wadau wa soka hasa mashabiki wa Simba, msiende na matokeo mfukoni kwenye gemu na Vipers, mm ninawahofia sana hao marafiki wa Simba, hao wakiamua lao hawashindwi.
Kama uongozi haujaelewana nao hadi leo basi wafanye hima wakayamalize otherwise mchezo na Vipers utakuwa mgumu sana.Mwisho, mtawatukana wachezaji wazee, cjui hawajitumi, cjui Mgunda anahujumu timu, cjui Robertinho sio kocha na kila aina ya ujinga.
Simba ni nguvu moja, ikikosekana hiyo hata tudhikiri uchi ushindi haupatikani.
Muhindi wa karatu kajitokezaKabla ya Mo mhindi ni lini Simba ilikuwa na mafanikio na ambayo yaliletwa na ngozi nyeusi? Mapungufu ya Mo sio ya kumwandika kama upuuzi ulioandika.
Awa jamaa bwana walitaka kuweka watu wao kwenye nafasi mbali mbali za uongozi ikiwemo uenyekiti uchaguzi uliopita ila mambo yakabuma hasa kwenye nafasi za juu.
Kwahiyo Patrick Kaluwa ni mtu wa FoS na Mangungu Murtaza ni wa Mo Dewji.Awa jamaa bwana walitaka kuweka watu wao kwenye nafasi mbali mbali za uongozi ikiwemo uenyekiti uchaguzi uliopita ila mambo yakabuma hasa kwenye nafasi za juu.
hawa jamaa mimi binafsi nawaheshimu na nawakubali.ila Kanji kiaina kama anawakataa flani hivi.wasipokua pamoja wakaelewana mambo yataparaganyika zaidi.
Kuna vijana wake pia wapo humu. Huwa wanafoka na kutukana kweli ukimtaja bosi wao.Muhindi wa karatu kajitokeza
Jibu hoja. Lini ngozi nyeusi iliwahi kufanya cha maana pale msimbazi kumzidi huyo mhindi uliemtaja?Muhindi wa karatu kajitokeza
We acha tu. Kuna watu hawajui hata wanaongea nini ila wanajiamini mno.Utopolo tu umeandikwa hapa
Huzijui fitna za huu mpira wetu, kuna senior players pale Simba wakuangaliwa kwa makini sana.Watafanyaje?
Enheee ? Connection yao na Ushindi ikoje?
Ingekuwa kipindi cha Michango tungesema saiv michango itapungua.
Maisha yanabadilika inatakiwa wabadilike, ila hawana influence yoyote kwenye ushindi provided Pesa ya posho, Bonus na mishahara inakuwepo.
Unataka kuniambia Inonga na kanoute wanajua hata hiyo "friends of whatever" inamaanisha nini?
Walikuja Bongo kucheza wamefuata hela, wakipewa hela waliyoifuata watacheza tu haijalishi nani ni kiongozi.
Karata pekee wanayoweza itumia ni mashabiki, lakini kwa nnavyojua Mashabiki wa Simba ni loyal kwa "MO" hata wakimkamata anaiba watakuambia alikuwa "anatuwekea vizuri".
Wanachotakiwa kukubali ni kuwa walikuwa wa muhimu kipindi cha Michango, since michango imekoma hawana umuhimu tena.
Kama kuna nafasi ya uongozi watapewa basi iwe ni kwa uwezo wao.
Na sio kwa kuwa ni "wanaharambee" wazuri.
Asa kama wanaweza kutoa Rushwa ili tufungwe?Huzijui fitna za huu mpira wetu, kuna senior players pale Simba wakuangaliwa kwa makini sana.