Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nawaambia wadau wa soka hasa mashabiki wa Simba, msiende na matokeo mfukoni kwenye gemu na Vipers, mm ninawahofia sana hao marafiki wa Simba, hao wakiamua lao hawashindwi.
Kama uongozi haujaelewana nao hadi leo basi wafanye hima wakayamalize otherwise mchezo na Vipers utakuwa mgumu sana.Mwisho, mtawatukana wachezaji wazee, cjui hawajitumi, cjui Mgunda anahujumu timu, cjui Robertinho sio kocha na kila aina ya ujinga.
Simba ni nguvu moja, ikikosekana hiyo hata tudhikiri uchi ushindi haupatikani.