Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwenye nini huu mtego unafanyika.Kuna sehemu huwa naipatia naitega inanipa 20+km/l
Tambarare, rev 1500, speed 50-60kph
Ha ha ha mkubwa, kuinjoi ni mpaka 140-160kph? Mimi nikiamua hivyo najua kabisa leo namaliza wese sijali natembea balaa. Hii ya rev 1500 huwa naifanya usiku nikiwa natoka kwenye mihangaiko sina haraka naenda home. Hata asubuhi huwa sivuki 60kph hapa mjiniKama huna haraka na hauko highway sawa.. Na vile huta enjoy the ride kwa mashine kubwa kama hiyo ya CC 2000 halafu mwendo wa bajaj
Jr[emoji769]
Ha ha ha mkubwa, kuinjoi ni mpaka 140-160kph? Mimi nikiamua hivyo najua kabisa leo namaliza wese sijali natembea balaa. Hii ya rev 1500 huwa naifanya usiku nikiwa natoka kwenye mihangaiko sina haraka naenda home. Hata asubuhi huwa sivuki 60kph hapa mjini
Hii ni vipi ? unaongelea ku set silence ?, maana 20km/l kwa engine ya 2000cc ni jambo la ajabu sana kwangu, mimi ninayo engine ya 2490, consumption yake ni hatare, nijuzeGari ukiendesha vizuri inatumia mafuta vizuri hadi unashangaa. Kuna kipindi huwa unaweza kupata hata km20/lita kwa gari ya CC2000. Ila haichukui muda inarudi kwenye 10-12km/l.
Kuna sehemu huwa naipatia naitega inanipa 20+km/l
View attachment 1340798
Hapo gari inatembea mkuu, 60kph. Gari iko gear namba 6, rev 1500Hii ni vipi ? unaongelea ku set silence ?, maana 20km/l kwa engine ya 2000cc ni jambo la ajabu sana kwangu, mimi ninayo engine ya 2490, consumption yake ni hatare, nijuze
Sijaachia wese. Actually nimeset cruise control at 60kph rev iko 1500. Alama ya kijani ni cruise controlSasa unakimbiza afu unaachia wese mkuu si inaeza soma hata 30km kwa llita kama mark x ....bonyeza wese mfululizo ukiwa na speed unayotembea kawaida ndo utapata makadirio mazuri
Sijaachia wese. Actually nimeset cruise control at 60kph rev iko 1500. Alama ya kijani ni cruise control