Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari gani mkuu?Hii ni vipi ? unaongelea ku set silence ?, maana 20km/l kwa engine ya 2000cc ni jambo la ajabu sana kwangu, mimi ninayo engine ya 2490, consumption yake ni hatare, nijuze
Vijana wengi wa mjini hawajui kuendesha manual transmission.
Hilo suala la kuruka gear kutoka namba 3 Hadi tano ni usiku wa Giza kwao
Hii ni mbinu nzuri sana, ila kuna wengine wanapingana nayo wakidhani inaharibu gearbox.Vijana wengi wa mjini hawajui kuendesha manual transmission.
Hilo suala la kuruka gear kutoka namba 3 Hadi tano ni usiku wa Giza kwao
Unaendesha Passo safari ndefu una moyo sanaHuwa sijisumbui kuangalia mafuta. Naendesha passo. Huwa nikiwa na safari ndef kila baada ya 300 km naweka full tank
Sent using Jamii Forums mobile app
Lita ngapi hizo?!Kutoka Sandton City hadi the Mall of Africa kila siku. Kwa mwezi mafuta ya laki 2. cc 1500 speed 50 hadi 80, sizidishagi zaidi ya hapo.
Ila yote hayo yatafanya kazi IWAPO gari sio mbovu, kama gari ina ubovu ubovu hata ukiwa on parking mode, silencer inapanda hadi 2 au 3 na kuonesha mafuta yanalika na muungurumo wa gari bado unakuwa mkubwa.
Sijui nimepatia au bange zishapanda....
Hio manual transmission car wataipata wapi?
Mkuu saizi watu wengi wamejifunza gari automatic na wanapendelea hizo.Seriously [emoji52]
Kwani hakuna kabisa manually au
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu saizi watu wengi wamejifunza gari automatic na wanapendelea hizo.
Na gari nyingi ni auto, Manual zipo kwa ajili ya wababe wachache.
60kph at 1500rpm means at 3000rpm speed itakuwa 120 hapo naona ipo na gia ya mwsho hata premio at 3000rpm gia ya mwsho unakuwa na 120kph kina brevis naona ni 125 kama sio 130...
Je inaonesha hivo kwa muda gani au sekunde kadhaa tu.....??
hapo kwenye kuzima a/c nabishana na wewe kumbuka unapokuwa kwenye mwendo mkubwa alafu umefungua madirisha gari inakuwa inatumia nguvu kubwa sana kutokana na hewa kujaa ndani itakayo nje
Sent using Jamii Forums mobile app
...usiwe unakurupuka soma uelewe nimeandika kwa gia ya mwisho....gear zile ni fixed kama no 3 at 3000rpm speed ikawa mfano 70kph basi hadi unaingia kaburini kwa gari hilo haibadiliki ....ndo hivo hivo ....hizi hesabu haziendi hivyo mkuu. gear ratio siyo linear, na zinatofautiana kwa jinsi transmission ilivyoundwa. kuna gari zikiwa kwenye overdrive gear, 110kph inatembelea rpm 1500.
Cruise control inakunywa wese SanaSijaachia wese. Actually nimeset cruise control at 60kph rev iko 1500. Alama ya kijani ni cruise control