RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #61
UK manual transmission ni nyingi sana, nawajua watu kadhaa wana magari manual wameingiza from UKManual cars ni magari special yanatengenezwa kwa ajili ya serikali au miradi.
Manual cars za watu binafsi unazoziona mitaani ni zile za zamani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app