TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Du hii ni Dar - Mtwara. Aina gani hii au batavuzi?Nimeweka ya elf 50. Nimetembea 590km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du hii ni Dar - Mtwara. Aina gani hii au batavuzi?Nimeweka ya elf 50. Nimetembea 590km
Kung'ang'ana na automatic transmission ni sawa na Kung'ang'ana na simu za kuzungusha /za mkonga almaarufu kama landlines.Mkuu saizi watu wengi wamejifunza gari automatic na wanapendelea hizo.
Na gari nyingi ni auto, Manual zipo kwa ajili ya wababe wachache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio hapo. Mtu amekuletea advanced system ya gear mtu ana ng'ang'ana na ya zamani....Wababe wapi ushamba tu, mzungu mwenyew kahama huko we mswahili et gari za wababe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajumbe wanakuambia...REAL MEN DRIVE THREE PEDALS..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio hapo. Mtu amekuletea advanced system ya gear mtu ana ng'ang'ana na ya zamani....
Wajumbe wanakuambia...REAL MEN DRIVE THREE PEDALS..
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Gari yangu nadhani kama nikiitega kwenye 70-90kph kwenye highway nadhani inaweza kunipa 20 kpl. Nikienda 100-120 huwa inanipa 16kplTambarare, rev 1500, speed 50-60kph
Kurukaruka gear sio driving nzuri sana na haipo recommended, Kuna gear moja itakuwa inabebeshwa mzigo ambao sio wake.Hii ni mbinu nzuri sana, ila kuna wengine wanapingana nayo wakidhani inaharibu gearbox.
Kuna mzee aliwahi nipa deiwaka Isuzu Bighorn nimpeleke Kilosa, kumbe alikuwa anacheki ninavyo badili gear kwa kuruka kuna muda uvumilivu ukamshinda akaniambia kijana utaua gearbox tushindwe kukamilisha safari.
Mstari wa kwanza ulikusudia manual transmission?Kung'ang'ana na automatic transmission ni sawa na Kung'ang'ana na simu za kuzungusha /za mkonga almaarufu kama landlines.
Sasa wewe mzungu kakaa chini kadesign mfumo wa automatic mimi nihangaike na manual ya nini, basi na simu tumieni za button achana na Smartphones
hapana kuruka gear kama kufanywa kitaalamu hakuna shida .Kurukaruka gear sio driving nzuri sana na haipo recommended, Kuna gear moja itakuwa inabebeshwa mzigo ambao sio wake.
Kurukaruka gear sio driving nzuri sana na haipo recommended, Kuna gear moja itakuwa inabebeshwa mzigo ambao sio wake.
Ni kweli kabisa, huwezi toka gear na.5 kwenda 3 na gari ipo kwenye speed kubwa that is what is going to happen to the engine. Kutoka gear 3 kwenda 5 pia unafanya damage kwenye gear box, haitadumu.juzi tu nimepasua engine kwa tabia hii... don’t ever try thisView attachment 1521938View attachment 1521939
Sijasema haiwezekani bali nimesema haiko recommended, na ukikutana na waliotengeneza hayo magari watakuona ww sio dereva mzuri hata kama unajiona ni dereva. Wewe unakuwa ni muongoza gari na sio derevahapana kuruka gear kama kufanywa kitaalamu hakuna shida .
Opticruise ya scania inaweza kurusha hadi gia tatu , kutegemeana na speed iliyopo
Yaani 1kr-fe ikupe 90km/l hii kitu haipo,haijawahi kuwepo na haitawahi kuwepo milele na milele.Mi yangu kuna mda inasoma hadi 90km/L ni passo 3 pstn
Waliotengeneza hayo magari ndiyo wamesema turuke gear mkuu! Ndugu hapo juu amekupa mfano scania opticruise, mimi nakuongeza mfano mwingine.Sijasema haiwezekani bali nimesema haiko recommended, na ukikutana na waliotengeneza hayo magari watakuona ww sio dereva mzuri hata kama unajiona ni dereva. Wewe unakuwa ni muongoza gari na sio dereva
Hio niliona kwenye corolla AE110 tu na kimsingi ile gari iko na 1.6L so economical. Engine iko at rest sana hata ikiwa in high speed yani 120kph ndio unakuta kamefika 2000 rpm.hizi hesabu haziendi hivyo mkuu. gear ratio siyo linear, na zinatofautiana kwa jinsi transmission ilivyoundwa. kuna gari zikiwa kwenye overdrive gear, 110kph inatembelea rpm 1500.
Si wanaweza tumia option ya S-Shift kwenye Tiptronic transmission au Semi-AutomaticHio manual transmission car wataipata wapi?
I guess hako ni ka Toyota Allex 😂Uko sawa kabisa, pamoja na mizunguko yangu ya mall nyumbani nyumbani mall nyumbani kazini kazini nyumbani na weekend nyumbani to gold reef na kurudi mwezi unafika bila stress ya kuzima zima gari kusave wese au kuzima kiyoyozi.
I appreciate for what I earn.
Hata Denmark napo hali iko hivyo hivyo.UK manual transmission ni nyingi sana, nawajua watu kadhaa wana magari manual wameingiza from UK