Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

Mkuu saizi watu wengi wamejifunza gari automatic na wanapendelea hizo.
Na gari nyingi ni auto, Manual zipo kwa ajili ya wababe wachache.
Kung'ang'ana na automatic transmission ni sawa na Kung'ang'ana na simu za kuzungusha /za mkonga almaarufu kama landlines.

Sasa wewe mzungu kakaa chini kadesign mfumo wa automatic mimi nihangaike na manual ya nini, basi na simu tumieni za button achana na Smartphones
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio hapo. Mtu amekuletea advanced system ya gear mtu ana ng'ang'ana na ya zamani....
Wajumbe wanakuambia...REAL MEN DRIVE THREE PEDALS..
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hii ni mbinu nzuri sana, ila kuna wengine wanapingana nayo wakidhani inaharibu gearbox.

Kuna mzee aliwahi nipa deiwaka Isuzu Bighorn nimpeleke Kilosa, kumbe alikuwa anacheki ninavyo badili gear kwa kuruka kuna muda uvumilivu ukamshinda akaniambia kijana utaua gearbox tushindwe kukamilisha safari.
Kurukaruka gear sio driving nzuri sana na haipo recommended, Kuna gear moja itakuwa inabebeshwa mzigo ambao sio wake.
 
Kung'ang'ana na automatic transmission ni sawa na Kung'ang'ana na simu za kuzungusha /za mkonga almaarufu kama landlines.

Sasa wewe mzungu kakaa chini kadesign mfumo wa automatic mimi nihangaike na manual ya nini, basi na simu tumieni za button achana na Smartphones
Mstari wa kwanza ulikusudia manual transmission?
 
Kurukaruka gear sio driving nzuri sana na haipo recommended, Kuna gear moja itakuwa inabebeshwa mzigo ambao sio wake.
hapana kuruka gear kama kufanywa kitaalamu hakuna shida .
Opticruise ya scania inaweza kurusha hadi gia tatu , kutegemeana na speed iliyopo
 
Kurukaruka gear sio driving nzuri sana na haipo recommended, Kuna gear moja itakuwa inabebeshwa mzigo ambao sio wake.

juzi tu nimepasua engine kwa tabia hii... don’t ever try this
IMG_3393.JPG
IMG_3394.JPG
 
Mhh sijawahi waza hii kitu
Sijui hata kuipiga hio hesabu afterall🤒🤒
 
juzi tu nimepasua engine kwa tabia hii... don’t ever try thisView attachment 1521938View attachment 1521939
Ni kweli kabisa, huwezi toka gear na.5 kwenda 3 na gari ipo kwenye speed kubwa that is what is going to happen to the engine. Kutoka gear 3 kwenda 5 pia unafanya damage kwenye gear box, haitadumu.

Watu wengi hawajui haya, kuna wengine wanaendesha mguu upo kwenye pedal ya klachi, yaani hapo unaua klachi plate mapema sana. Ni muhimu mtu anavoendesha awe hata na idea kidogo ya nini kinatendeka huko kwenye engine na gearbox
 
hapana kuruka gear kama kufanywa kitaalamu hakuna shida .
Opticruise ya scania inaweza kurusha hadi gia tatu , kutegemeana na speed iliyopo
Sijasema haiwezekani bali nimesema haiko recommended, na ukikutana na waliotengeneza hayo magari watakuona ww sio dereva mzuri hata kama unajiona ni dereva. Wewe unakuwa ni muongoza gari na sio dereva
 
Waliotengeneza hayo magari ndiyo wamesema turuke gear mkuu! Ndugu hapo juu amekupa mfano scania opticruise, mimi nakuongeza mfano mwingine.

Iveco stralis yenye automatic gearbox, inaruhusiwa kuruka gear ukiindesha manually. Yaani ikiwa gia namba 2, unaweza kuirusha namba 4,6,8 n.k

Mfumo huo umeifanya iheshimike kwenye ligi kwa wanaoijua.
 
hizi hesabu haziendi hivyo mkuu. gear ratio siyo linear, na zinatofautiana kwa jinsi transmission ilivyoundwa. kuna gari zikiwa kwenye overdrive gear, 110kph inatembelea rpm 1500.
Hio niliona kwenye corolla AE110 tu na kimsingi ile gari iko na 1.6L so economical. Engine iko at rest sana hata ikiwa in high speed yani 120kph ndio unakuta kamefika 2000 rpm.

Kwangu nina 1.8L nikigusa 90 kph tu RPM ishagonga 2000rpm...nikisogea mpaka 130kph nagonga 3000rpm na zaidi.
 
Uko sawa kabisa, pamoja na mizunguko yangu ya mall nyumbani nyumbani mall nyumbani kazini kazini nyumbani na weekend nyumbani to gold reef na kurudi mwezi unafika bila stress ya kuzima zima gari kusave wese au kuzima kiyoyozi.

I appreciate for what I earn.
I guess hako ni ka Toyota Allex 😂
 
Back
Top Bottom