t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
+1Nakubaliana na mleta uzi, Mimi nina cc 2360 huwa napata hadi km 17 kwenye speed ya 80. Kwanza nina accelerate taratibu kisha nina maintain
Hiyo ndio siri watu wengi hawajui, inatakiwa u assume kuna yai bichi Kati ya mguu na acc pedal, then ukanyage yai liisukume pedal bila yai kuvunjika, pressure utakayotumia kukanyanga yai hapo ndio pressure sahihi kuendeshea kama unataka fuel economy.
Ukisha kuwa heavy footed, hata kama utamaintain green band Rev, bado hutaweza kupata fuel figures nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app