Watazipata wapi Mkuu ?, Mjapan hafai, ametengeneza gari za Auto mpaka gari kubwa kabisa kama land cruiser na Prado, sasa hapo mjini vijana wanatumia sedan cars manual transmission wanaitoa wapi ?.
Kuna trim mkuu yan version mbali mbali kulingana na mtumiaji kwani huoni gari za serikali