Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Haifai
 
Tatizo ni mentality. Wamatumbi wengi wanapenda vitu cheap cheap sana.

Bora ukae miaka 4 huna gari...ila siku ukimiliki unamiliki gari ya kueleweka

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Yaani bora nitembelee gari hata ya cc650 kuliko kupambana kwa miguu na jua,mvua,vurugu za mwendokasi ili tu nije kununua gari zuri tena ambalo najua litakua la miaka mingi used huko mambele.
 
Nna wasiwasi na uelewa wako juu ya magari. Hivi tafsiri ya gari ndogo ni nn?! Udogo wa engine, udogo wa umbo au ground clearance. Gari yoyote ili idumu mda mrefu inahitaji matunzo na hyo gari utakayo inunua iendanane na matumizi yako. Huwezi kununua sedan car alaf shughuli zako nyingi zipo off-road. Nimesema nna wasiwasi na uelewa wako kwa kuwa sababu ulizotoa ni dhaifu sana. ''Suv yenye cc 1990 ni imara na haiaribiki haraka''😂😂😂 pasipo kujali driving habits, service na barabara unayoitumia frequently
 
Ni watanzania wangp wananunua gari kulingana na matumuzi yao? Hivi hao wanaonunua gari Kama Porte, ist, passo unafikir kua Kama wanna uchumi imara watanunua gari hzo? Kweli? Mtu anatumia passo kusafirisha km 1000 unafik anapenda?
 
Ni watanzania wangp wananunua gari kulingana na matumuzi yao? Hivi hao wanaonunua gari Kama Porte, ist, passo unafikir kua Kama wanna uchumi imara watanunua gari hzo? Kweli? Mtu anatumia passo kusafirisha km 1000 unafik anapenda?
Huwezi kupingana na ukweli, sasa ukiwa na hyo porte then ukaipigisha mziko kuliko ilivyostaili ukaipitisha ktk barabara mbovu, service haufanyi ikianza kuleta shida usikimbilie kusema gari ndogo hazidumu. Gari yoyote ile iwe engine kubwa ama ndogo ukiitumia ndivyo sivyo haitodumu. Sasa gari kama Porte uipitishe rough road tena uipigilie na mzigo na unatembea umbali wa km1000 ndani ya miezi 4 tu inakufa, umasikini wetu sio justification kwa sababu hizi gari haziwezi kuvumilia shida na zenyewe hazijui kama sisi ni masikini zitaharibika tu. Ni vema kuwa na gari inayoendana na matumizi yako
 
Watu wanashangaa kwanini watu wanakimbilia IST ilihali main factor ni fuel economy na maintanance costs!

Ziko gari za bei chini ya hapo ila watu wamekomaa na ist hawajiulizi kwanini. Hamna asiyetaka Subaru au Xtrail ila uchumi unabana😂
 
Suzuku gani hio inatembea 170KPH?
 
Hiyo ni bajaji yenye bodi ya gari
 
Nmetokea kuipenda Subaru forester ya 2009

Kwa anaye jua kuhsu gharama za uagzwaj wake mpka mkonon inawza cost bei gan!?
 
Duh Prado!
 
Yaani bora nitembelee gari hata ya cc650 kuliko kupambana kwa miguu na jua,mvua,vurugu za mwendokasi ili tu nije kununua gari zuri tena ambalo najua litakua la miaka mingi used huko mambele.
Kweli aisee bora hata uwe na suzuki kei ila haupigwi na jua wala haulowi na mvua kuliko kusubiri hiyo miaka minne ambayo pia huna uhakika kama utapata hilo gari ama unaweza kushindwa kununua
 
Its nothing like that, but since it is a 1000cc engine you cant overstress it too much,but still it is capable of covering even 500 kilometer at a stretch. Then you will to take a break, not because of the car,but because of you, yourself will be tired. Cars are the greatest inventions ever, it works and works and works like a meniac!
 
Hakuna sehemu nilipopinga haiwezi enda 1000km straight, sembuse 500? Dar to Dodoma tu.

Zilikua ni precautions tu ukichukulia gari imawezekana kua ya muda na service zetu wabongo tunazijua wenyewe.
 
Mimi sina gari mkuu, ila maisha mitandaoni, kwa vile hatuonani, kila mtu anajiona yuko zaidi, kumbe wengi hata pa kulala tunavizia, ila tunamiliki Simu ya kupondea vitu vya watu tu.
Hahahahahahaaa dah aisee kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…