Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Mkuu kuna watu wananunua IST new model kwa more than 20M. Hizi babywalker zina raha yake, hasa hapa town, halafu utumiaji wa mafuta ndio factor kubwa sana, kwa mishe za dar ukiweka mafuta ya 50k unatumia wiki nzima, kwa hiz gari ndogo.

Hata kama unauweza kuwa na SUV hizi ndogo nazo sio za kuzikosa. Sina msaada sana.
SUV ndogo ni kama zipi mkuu?
 
SUV babywalker🤗🤗🤗
Ford-Ecosport.jpg
 
Itabidi siku moja tupange safari kwenda mwanza na hivi vibebiwoka vyetu

Na vp kuhusu kuchemsha kwa engine, vp kuhusu engine kuchoka ndani ya muda mfupi?? [emoji28]
Haijawahi kuchemka na huwa speed yangu ni 100 hadi 130 sehem tambarare. Na hii ni passo ya 2 kumiliki. Moja nlinunua kuukuu kwa mtu ikiwa na 160k km ingene nikanunu mpya 40k km ndo ninayo km miezi 6 hivi sasa ndo ina 60kkm napiga nayo misele ya kufa mtu tena full ac haijawahi kuzingua
 
Itabidi siku moja tupange safari kwenda mwanza na hivi vibebiwoka vyetu

Na vp kuhusu kuchemsha kwa engine, vp kuhusu engine kuchoka ndani ya muda mfupi?? [emoji28]
Wanaosema engine inachoka huwa siwaelewi. Mara ya mwisho nimetoka dar saa 10 jiona na saa 2 asubuhi nlikuwa mwanza
 
Maana sijawahi kwenda masafa marefu na gari chini ya cc 1490.

Ila kuna jamaa yangu ameenda hadi bukoba kwa vitz ile ya cc990, hapo breki ya kwanza, dom, kisha misigiri, then nzega, halafu kahama, chato then katoboa bukoba.

Sasa naona vituo ni vingi sana, na mie napenda nikianza safari iwe moja kwa moja.
Kama haichemshi itafika kwokwote, vituo ni kuweka mafuta.
 
Mimi sina gari mkuu, ila maisha mitandaoni, kwa vile hatuonani, kila mtu anajiona yuko zaidi, kumbe wengi hata pa kulala tunavizia, ila tunamiliki Simu ya kupondea vitu vya watu tu.
[emoji38] mkuu wewe ni mkweli sana. Na utafika mbali[emoji1548]
 
Mimi sina gari mkuu, ila maisha mitandaoni, kwa vile hatuonani, kila mtu anajiona yuko zaidi, kumbe wengi hata pa kulala tunavizia, ila tunamiliki Simu ya kupondea vitu vya watu tu.
Kumiliki gari ndogo siyo kosa gari ndogo inachoka haraka Sana kwa sabb iko chini Sana nying ndani ya miaka 2,3 ishapondeka mbele haitamaniki hata mnunuzi anakupunja na pia injin yake ni ndogo hivyo huchoka haraka SUV yenye cc Zaid ya 1990 ni gari imara na hairabiki haraka na hudumu muda mrefu mpaka miaka 10 na kuendelea unayo tofauti na gari ndogo.
 
Mimi nina Subaru Forester nilitumia mil.14 mpaka kukabidhiwa mkononi toka Japan huu mwaka 4 haijasumbua chochote lengo langu ni kukaa nayo miaka 8_10 sema familia imeongezeka nataka niiuze ninunue gr kubwa Mana in seat 5 , nilitaka kuagiz gr toka Korea ikashindikana .
 
Mkuu uwa unajisikiaje ukipack mombo kula pembeni mwezio kapack kluger, jiran yako kapack harrier new model , alafu wote mnakwenda Moshi hua unajisikiaje hapo Mkuu? Hivi high way si unakua mnyonge sana kila gari inakupita?!
Harrier new model ni ipi?
 
itakua unaongelea Malori labda la hamna gari ndogo zinakimbizwa kama IT yani unaeza ukapanda kitownace kinakimbizwa kama subaru. Mikumi mule wanafuta bumps kama hawana akili nzuri ndo maana wanatembeaga usiku.
 
Cheza na rpm.

Kama unataka kubana sana mafuta, rpm isizidi 2000.

Acha gari ichanganye yenyewe.
Muulize anazungumzia Gari gani kwanza unaweza kuta anataka kubania mafuta kwenye Brevis 3000cc.... 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom