Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
SUV ndogo ni kama zipi mkuu?Mkuu kuna watu wananunua IST new model kwa more than 20M. Hizi babywalker zina raha yake, hasa hapa town, halafu utumiaji wa mafuta ndio factor kubwa sana, kwa mishe za dar ukiweka mafuta ya 50k unatumia wiki nzima, kwa hiz gari ndogo.
Hata kama unauweza kuwa na SUV hizi ndogo nazo sio za kuzikosa. Sina msaada sana.