Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Bila vituo ndio ila why taking risk. Dar to Mbeya kilometa 800 izo bora ubreak kila baada ya 200. Mfano Moro, Iringa, hafu Makambako au ukamalizia.

Uzuri ukivuka Moro uko kuna baridi sana so cooling itakua more effective.
Gari haipati moto na haipozwi na hali ya hewa.

Yangekuwa yanaungua Uarabuni kwenye majangwa na kuganda kwenye matheluji ya Urusi huko.
 
Ni watanzania wangp wananunua gari kulingana na matumuzi yao? Hivi hao wanaonunua gari Kama Porte, ist, passo unafikir kua Kama wanna uchumi imara watanunua gari hzo? Kweli? Mtu anatumia passo kusafirisha km 1000 unafik anapenda?
Passo haifiki safari ya km 1000 ?

Sasa Passo yenye odometer inasoma km. 100,000, ilifika fikaje hizo km laki moja bila engine kupasuka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…