Gari haipati moto na haipozwi na hali ya hewa.Bila vituo ndio ila why taking risk. Dar to Mbeya kilometa 800 izo bora ubreak kila baada ya 200. Mfano Moro, Iringa, hafu Makambako au ukamalizia.
Uzuri ukivuka Moro uko kuna baridi sana so cooling itakua more effective.
Yangekuwa yanaungua Uarabuni kwenye majangwa na kuganda kwenye matheluji ya Urusi huko.