Hapana hizi hesabu hazina uhalisia hata ungekua na ghorofa Moja bado wire 1.5mm ni nyingi sana,Fundi wa umeme amenipa hizi gharama. Hapo nilishavuta umeme na kufunga baadhi ya socket, na taa za nje.
Je, zina uhalisia kwa nyumba ya vyumba vinne?
View attachment 3172530
Kwenye idadi sijui umefunga vifaa vingapi. Ungetaja ukubwa wa nyumba tungeweza kushauri. Ila nilinunuaga 3x4 kwenye 2.5mm na 2x4 kwenye 1.5 nikafunga kwenye 2 appointments zenye vyumba viwili, sebule, jiko, choo, each.Fundi wa umeme amenipa hizi gharama. Hapo nilishavuta umeme na kufunga baadhi ya socket, na taa za nje.
Je, zina uhalisia kwa nyumba ya vyumba vinne?
View attachment 3172530
samahani hii 3 x4 na 2 x4 ni kitu gani3x4 kwenye 2.5mm na 2x4
Yaani nyaya kwenye za soket zinapita tatu tatu za rangi tofauti. So nimenunua mabunda manne ya hizo nyaya, kila rangi. (Red + Green + Yellow) X 4 = 12samahani hii 3 x4 na 2 x4 ni kitu gani
asante, nimekupataYaani nyaya kwenye za soket zinapita tatu tatu za rangi tofauti. So nimenunua mabunda manne ya hizo nyaya, kila rangi. (Red + Green + Yellow) X 4 = 12
Fundi wa umeme amenipa hizi gharama. Hapo nilishavuta umeme na kufunga baadhi ya socket, na taa za nje.
Je, zina uhalisia kwa nyumba ya
Tronic na mastet cable kwa daraja la kawaida km unataka baba lao nunua euroKampuni gani za wire nzuri kwa sasa?
Bei zipoje
Kampuni gani hzo nyaya mkuuKwenye idadi sijui umefunga vifaa vingapi. Ungetaja ukubwa wa nyumba tungeweza kushauri. Ila nilinunuaga 3x4 kwenye 2.5mm na 2x4 kwenye 1.5 nikafunga kwenye 2 appointments zenye vyumba viwili, sebule, jiko, choo, each.
Ila Kwa bei 2.5mm ni 75,000/-, na 1.5mm ni 45,000/-. Tena hii ni bei ya sie tulionunua pcs nne nne labda. Kwa wewe wa nyingi inaweza kushuka zaidi
Cha pili, waya za 2.5mm ni za kwenye sockets, na 1.5mm ni za kwenye bulbs. Sasa hizi 1.5mm nazo unanunua pea tatu tatu kwamba umefunga "earth" mpaka kwenye bulbs au??
Kingine hivi vifaa unampa hela akanunue mwenyewe? Au unaenda kununua wewe?
Na fundi akija saiti hua anakujaga na begi la kuwekea vifaa vyake vya kazi na kuondoka nalo kila siku? Au akija nalo siku ya kwanza haondoki nalo mpaka siku ya kumaliza??
Master Cable MkuuKampuni gani hzo nyaya mkuu
Sawa sawq kwa bei ya 45000 wapi huko mkuu.Master Cable Mkuu