technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election.
Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election.
Kwanini anavitetea vyombo vya ulinzi na usalama Tena anawaombea tenda na kuongezwa mishahara kwanini hasiwaombee wananchi kwa ujumla?
Kwanini aje kipindi Cha uchaguzi wakati utekaji umeanza mwaka 2016?
Baada ya miaka 9 ndio analeta hoja ya utekaji Tena kukiwa na vugu vugu la kuwepo kwa chama Cha matapeli chauma?
Wanjanja tunajuwa kabisa huyu ndiye alikuwa mshenga kumleta fisadi Lowassa Chadema na kuifanya Chadema ipoteze mvuto kwa wananchi.
Leo Tena anaona chadema gari limewaka na Chadema inakubalika miongoni mwa watu wanaojitambua !!!.
Mafisadi wamemchukua Tena kucheza kete za hatari za either kwenda kuivuruga Chadema na hoja zao za no reform no Election
Au kwenda Chauma kugombea urais kwa kushirikiana na Mpina na Mbowe ili kuwaadaa Watanzania!!
Chadema msikubali agenda ya no reform no Election kutekwa na kuvurugwa na fisadi yeyote yule au mtu mwenye maslahi na kundi fulani.
Gwajima anatumika kuzima ajenda za msingi katika nchi
Siasa za ulaghai zimepitwa na wakati nashauri chadema liamsheni dude la no reform no Election mpaka kieleweke!