technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kaikoleza agenda watu tuna hasira na majiziUkiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election.
Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election.
Kwanini anavitetea vyombo vya ulinzi na usalama Tena anawaombea tenda na kuongezwa mishahara kwanini hasiwaombee wananchi kwa ujumla?
Kwanini aje kipindi Cha uchaguzi wakati utekaji umeanza mwaka 2016?
Baada ya miaka 9 ndio analeta hoja ya utekaji Tena kukiwa na vugu vugu la kuwepo kwa chama Cha matapeli chauma?
Wanjanja tunajuwa kabisa huyu ndiye alikuwa mshenga kumleta fisadi Lowassa Chadema na kuifanya Chadema ipoteze mvuto kwa wananchi.
Leo Tena anaoma chadema gari limewaka na Chadema inakubalika miongoni mwa watu wanaojitambua !!!.
Mafisadi wamemchukua Tena kucheza kete za hatari za either kwenda kuiua Chadema na hoja zao za no reform no Election
Au kwenda Chauma kugombea urais kwa kushirikiana na Mpina na Mbowe ili kuwaadaa Watanzania!!
Chadema msikubali agenda ya no reform no Election kutekwa na kuvurugwa na fisadi yeyote yule au mtu mwenye maslahi na kundi fulani.
Gwajima anatumika kuzima ajenda za msingi katika nchi
Siasa za ulaghai zimepitwa na wakati nashauri chadema liamsheni dude la no reform no Election mpaka kieleweke!
Acha haraka tarehe 28 inarudi ground kaeni kwakutulia NRNE ni yetu sote hiyoUkiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election.
Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election.
Kwanini anavitetea vyombo vya ulinzi na usalama Tena anawaombea tenda na kuongezwa mishahara kwanini hasiwaombee wananchi kwa ujumla?
Kwanini aje kipindi Cha uchaguzi wakati utekaji umeanza mwaka 2016?
Baada ya miaka 9 ndio analeta hoja ya utekaji Tena kukiwa na vugu vugu la kuwepo kwa chama Cha matapeli chauma?
Wanjanja tunajuwa kabisa huyu ndiye alikuwa mshenga kumleta fisadi Lowassa Chadema na kuifanya Chadema ipoteze mvuto kwa wananchi.
Leo Tena anaoma chadema gari limewaka na Chadema inakubalika miongoni mwa watu wanaojitambua !!!.
Mafisadi wamemchukua Tena kucheza kete za hatari za either kwenda kuiua Chadema na hoja zao za no reform no Election
Au kwenda Chauma kugombea urais kwa kushirikiana na Mpina na Mbowe ili kuwaadaa Watanzania!!
Chadema msikubali agenda ya no reform no Election kutekwa na kuvurugwa na fisadi yeyote yule au mtu mwenye maslahi na kundi fulani.
Gwajima anatumika kuzima ajenda za msingi katika nchi
Siasa za ulaghai zimepitwa na wakati nashauri chadema liamsheni dude la no reform no Election mpaka kieleweke!
NRNE iko palepale, kosa la Lowassa halitakaa lirudiwe tena na na cdm, na waliompokea Lowassa ndani ya cdm ndio hao wameelekea kula ubwabwa.Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election.
Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election.
Kwanini anavitetea vyombo vya ulinzi na usalama Tena anawaombea tenda na kuongezwa mishahara kwanini hasiwaombee wananchi kwa ujumla?
Kwanini aje kipindi Cha uchaguzi wakati utekaji umeanza mwaka 2016?
Baada ya miaka 9 ndio analeta hoja ya utekaji Tena kukiwa na vugu vugu la kuwepo kwa chama Cha matapeli chauma?
Wanjanja tunajuwa kabisa huyu ndiye alikuwa mshenga kumleta fisadi Lowassa Chadema na kuifanya Chadema ipoteze mvuto kwa wananchi.
Leo Tena anaoma chadema gari limewaka na Chadema inakubalika miongoni mwa watu wanaojitambua !!!.
Mafisadi wamemchukua Tena kucheza kete za hatari za either kwenda kuiua Chadema na hoja zao za no reform no Election
Au kwenda Chauma kugombea urais kwa kushirikiana na Mpina na Mbowe ili kuwaadaa Watanzania!!
Chadema msikubali agenda ya no reform no Election kutekwa na kuvurugwa na fisadi yeyote yule au mtu mwenye maslahi na kundi fulani.
Gwajima anatumika kuzima ajenda za msingi katika nchi
Siasa za ulaghai zimepitwa na wakati nashauri chadema liamsheni dude la no reform no Election mpaka kieleweke!
Tuhuma kwamba mamlaka za uteuzi zinazuia uchunguzi wa visa vya utekaji, utesaji na mauaji ni kubwa kuliko No Reforms No Elections kiasi kwamba asingeweza mtu yoyote abebeshwe ili tu kuzima agenda ya ReformsJe Gwajima katumwa kuzima ajenda ya NO REFORM NO ELECTION?
Unajinchanganya dogo, huku mitandaoni sio ofisi ya cdm. Cdm wanaendesha mambo yao kwa vikao. Huku mitandaoni wako manazi na sio ofisi ya cdm. Msimamo wa cdm kama chama ni NRNE, kama huamini lete ajenda ya kikao chochote cha cdm kilichojadili habari za Gwajima.Yaani hata maazimio ya Kamati Kuu ya Chadema wameyaacha, wanaimba Gwajima tu.... Wakipigwa na tukio jingine, wanasahau kila kitu.... Hapo bado hatijawapelekea mtu wetu ajifanye kuhamia Chadema, wamjadili miezi miwili
Kabisa moja ya matapeli wakubwa wa kisiasaNi udhaifu mkubwa kumuamini Gwajima, huwezi kurusha jiwe upande uliopo, unaweza kurusha jiwe upande wa pili.