Je Gwajima katumwa kuzima ajenda ya NO REFORM NO ELECTION?

Ukishahoji mamlaka makubwa ya rais kuteua na kutumbua umeshaingia kwenye upande wa kutaka reforms kwa aina moja au nyingine.

Tatizo kuna ugumu wa watu kuchambua vitu vya msingi watu wanaishia kwenye siasa za makundi, juangakia watu badala ya hoja, na kuweka logical fallacies kibao.
 
NRNE haisimami, imewaingia wananchi vizuri. Leo ipo inaendelea kanda ya kaskazini. Kesho wapo R. Chuga kwa wadudu
 
Sema zipo agenda za kuzimwa ila hii reforms ,inatembea kuliko moto wa petroli, mwezi wa tano sasa ipo kwenye trend ya juu sana, hii ni kuikubali tu hakuna mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…