Anapiga nyunguAnafanya nini Chato? 🤣 🤣
Hakuna aliekamilika lakini kuna wengine wamezidi asee. Head of state unatakiwa uwe competent kuhusu masuala fulani fulani ya muhimu sio unakuwa mzinguaji.Kila mtu ana mapungufu,au wewe umekamilika??, mkuu huyo ndio Rais wetu, aibu yake..aibu yetu...
Hakuna aliekamilika lakini kuna wengine wamezidi asee. Head of state unatakiwa uwe competent kuhusu masuala fulani fulani ya muhimu sio unakuwa mzinguaji.
Mkuu huyo ndio tunae mpaka 2025,competent or not,lol..l i guess tumuonyeshe mapungufu yake and how he can work on them?, kingine ni personality yake..ni mtu wa kutoa orders badala ya kujadiliana ndio maana walio karibu yake hawaulizi maswali wala ku question maamuzi yake...sasa mtu wa personality kama hii ni vigumu kushiriki mikutano..sababu hajazoea kuulizwa lolote...Mkuu Rais encourage wanaokuzunguka kujadiliana na kuukuliza maswali...its for your own good
Until when will you go into hiding?Until when you will go into hiding?
Siku hizi akili zinaanza kukurudia mkuuWale mnaojua protokoli: je, Rais hawezi kuwa na msaidizi anaye kuwa nae karibu?
Anapewa swali, anajadiliana na msaidizi then anajibu, then msaidizi ana translate jibu lake?
Mimi sidhani kama Magufuli hajui kingereza. Ninachodhani hana confidence, anaogopa maswali. Akiulizwa anapata panick attack. Ni sawa na wale wenye fear of public speech wanavyopata attack.
Sidhani kama nimeshuhudia Rais wetu Magufuli akifanya mdahalo wowote hata kwa lugha ya Kiswahili ambao unajumlisha maswali kwake. Tumeshuhudia akitoa hotuba tu.
Mimi nakushauri Rais wetu uanze slowly kufanya mdahalo hata wa nusu saa kwa lugha ya Kiswahili, hen utapata confidence slowly hata ya kushiriki mikutano mikubwa.
Until when you will go into hiding?
Huwezi kuwa mkuu hata wa shule halafu unashindwa kuhutubu hata mbele ya wanafunzi.Sijui hata darasani alikuwa anafundishaje.Hakuna aliekamilika lakini kuna wengine wamezidi asee. Head of state unatakiwa uwe competent kuhusu masuala fulani fulani ya muhimu sio unakuwa mzinguaji.