Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Wale mnaojua protokoli: je, Rais hawezi kuwa na msaidizi anaye kuwa nae karibu?
Anapewa swali, anajadiliana na msaidizi then anajibu, then msaidizi ana translate jibu lake?
Mimi sidhani kama Magufuli hajui kingereza. Ninachodhani hana confidence, anaogopa maswali. Akiulizwa anapata panick attack. Ni sawa na wale wenye fear of public speech wanavyopata attack.
Sidhani kama nimeshuhudia Rais wetu Magufuli akifanya mdahalo wowote hata kwa lugha ya Kiswahili ambao unajumlisha maswali kwake. Tumeshuhudia akitoa hotuba tu.
Mimi nakushauri Rais wetu uanze slowly kufanya mdahalo hata wa nusu saa kwa lugha ya Kiswahili, hen utapata confidence slowly hata ya kushiriki mikutano mikubwa.
Until when you will go into hiding?
mkuu unaongelea mkalimani au msaidizi ? from what i know kila rais ana msaidizi wake ambaye hufanya kazi kwa mfano kubeba hotuba,kupeleka ujumbe aliotoa rais nk,na kuhusu mkalimani ma Rais huwa wana mkalimani wao,baadhi ya ma rais wamewahi kuajili mtu maalumu wa kufanya kazi ya ukalimani, huwezi kuwa rais usiwe na mkalimani binafsi kwa sababu huwezi kujua lugha zote
Sent using Jamii Forums mobile app