Je, haiwezekani Rais kuwa na msaidizi kwenye mikutano mikubwa?


mkuu unaongelea mkalimani au msaidizi ? from what i know kila rais ana msaidizi wake ambaye hufanya kazi kwa mfano kubeba hotuba,kupeleka ujumbe aliotoa rais nk,na kuhusu mkalimani ma Rais huwa wana mkalimani wao,baadhi ya ma rais wamewahi kuajili mtu maalumu wa kufanya kazi ya ukalimani, huwezi kuwa rais usiwe na mkalimani binafsi kwa sababu huwezi kujua lugha zote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi sasa atafanyaje wakati iko hivyo.

Hotuba yenyewe akitoa mnajua wenyewe cheche anazotoa huko ije kuwa mdahalo si itakuwa balaa kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

amejawa hasira kila mara na kutupia lawama wengine,pia amezoea kuwasema vibaya wazungu, kwa mantiki hii hawezi kuhotubia mikutano ya kimataifa mfano UN general assembly


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi hii iwe katika vipaombele vyake awamu ijayo,maana awamu hii tushahitimu.
 
Sasa nani atakaye mfunga paka kengele,maana hata wewe ungekuwa wa karibu yake huwenda ungeshindwa kumshauri kutokana na nature yake kama ulivyosema,au ndio tusemee huku nyuma ya keyboard.
 
Hakuna huo muda wa kuanza slowly! Kama alikuwa anajua kuwa ana matatizo yatakayoigharimu nchi na Afrika kwa ujumla wake alipaswa kukataa hiyo nafasi. Kama ana busara asigombee muhula wa pili
 
From my own experience ukifanya kazi na watu wa personality ya Aina hii inabidi kuwa na akili ya Hali ya juu...
Mfano
Nilipo maliza chuo Kikuu sikuwa na kazi yoyote ya kueleweka nilipewa nafasi katika Kampuni BINAFSI ya ulinzi ya NYUMBANI kwao na Rafik yangu Kama HR
AMBAYO mama ake na Rafik angu alikua director
Mama wa kikurya mkali kwel kwel ukifanya fyonko
Yule mama anatabia Kama za Magufuli mtupu
KUTOKA na utendaji wangu uliotukuka na kipaji Ambacho mungu amenijalia napo pewa nafasi yeyote na popote ya kazi.....
Nilitokea kua kiungo muhimu Sana kweny Kampuni Na Kampuni ilipata tenda nying....
Na nili TOKEA kupendwa Sana na Director wangu huyu..
Kuna
Walio Wai nambia unawezaje kukaa siku nzima na MTU wa namna hii..
Yaan usimpe umbea huyo MTU ujue atafukuzwa kazi
yaan Kuna muda nilikua inabidi kesi zingine nizimalize kwa Siri maana....
Alikua yupo very harsh hapendi discussion Wala arguments
Ni Aina ya watu wakikupenda utakula Goodtime watoto wa mjini wanasema bataa
KWENY
Uongozi alikua Ni jabali hajawai shindwa utapeleka kesi yako usishangae kesi ikakugeukia wewe uliye ipelekaa
Mimi nilipendwa Sana na kusikilizwa Sana na Director
Kudeal na watu wa sampuli hii Ni very complicated
KUNA MUDA UNAWEZA FUNGUA MDOMO WAKO UKAJIKUTA UNA JUTA KWANINI ULIFUNGUA MDOMO UNAJISEMEA BORA NINGEKAA KIMYA
AT LEAST KU DEAL NA WATU WA PERSONALITY ZA AINA HII NI KUTAFUTA WATU WAKE WA KARIBI KAMA NILIVYO KUA MIMI NA ZAIDI YA YOTE AKILI KUBWA MAANA HUWA HAWASHAURIKI
 
Nacheka lakini seriously nimehuzunika sana kwa hili. Asante Rebecca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…