Ajira zimejaa kibao huko vijijini, mtaji wako ni kama milioni 10 hivi za kufungulia kiduka mshenzi cha madawa ya mifugo. Hautachukua miaka mitatu lazima utakuwa na turnover ya 100M kwa kiwango cha chini tena ukiwa mzembe na mtu wa starehe lakini utaweza kuzidi hapo kiurahisi tu. Nina uhakika kabisa na hili nimewasaidia madogo wawili ushauri kama huu sasa hivi wanapeta tu.