Je hali ya ajira za (bvm) bacholor of veterinary medicine kwa hapa nchini iko vipi?

Je hali ya ajira za (bvm) bacholor of veterinary medicine kwa hapa nchini iko vipi?

Dindai

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
931
Reaction score
1,659
Wadau wenye ufahamu juu ya hii field maana nataka kuomba kama first selection je inafuture yeyote kibongo bongo au ni mizinguo tu!
 
Ajira zimejaa kibao huko vijijini, mtaji wako ni kama milioni 10 hivi za kufungulia kiduka mshenzi cha madawa ya mifugo. Hautachukua miaka mitatu lazima utakuwa na turnover ya 100M kwa kiwango cha chini tena ukiwa mzembe na mtu wa starehe lakini utaweza kuzidi hapo kiurahisi tu. Nina uhakika kabisa na hili nimewasaidia madogo wawili ushauri kama huu sasa hivi wanapeta tu.
 
Back
Top Bottom