Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Sauti ya zege, miss kawe kazi anayo safari hii. Kawe twendeni na Bishop. Gwajima.
 
Jibu hoja ,acha ufala ,Halima Mdee kaifanyia nini Kawe ndani ya miaka kumi akiwa mwakilishi wa jimbo ?
1....
2.....
3.....
4......
5.......
Kazi ya mbunge ni nini? Pili nakwambia nimeguswa kama muislam mkazi wa makongo juu
 
Wazir kazi yake sio kutengeneza/kuboresha mitaa mkuu. Mbunge anawakilisha matatizo ya wananchi bungeni ili serikali itatue lkn mbunge hajawahi kupeleka shida ya wananchi wa jimbo lake hata mara moja. Yeye ni kukimbizana na polisi na kushutumu serikali haifanyi kitu, je yeye kama mwakilishi wa wana kawe alishawahi kupeleka kero za wana kawe bungeni? Alishawahi kupata nafas ya kukutana na wananchi wake na kusikiliza kero zao? Nadhani tuache ushabiki usio na faida, penye ukweli usemwe
 
Mimi nina video ya huyo mhuni unayemuita askofu akifanya ngono na moja wa kondoo wake na kusema kamwe hawezi kugombea ubunge kwani ni kujishusha cheo. Paskali umekua fisi kama mafisi wengine wa Lumumba, shame on you!
 
Mimi nitamchagua Halima mdee, maendeleo nitajiletea mwenyew nikiwa bado kujana period. Mfufuaji aendelee kufufua misukule yake. Hoja yangu aihusiani na affiliation ya chama, bali simpendi tu gwajima kwa kuwa anatuona sisi sote hatuna akili. Na mimi mtu akiniona mbumbumbu nami namtapika kabisa.
 
Paskali akiendelea hivi, si muda mrefu utakuta kajipanga Kinondoni na makada wenzake akina James Delicious wanajitafutia kipato!
 
Halima anafaa sana kuendelea kuwabunge na hata waziri baadaye!!

Aliyo fanya mengi ameyasemea mengi wananchi yanayo wasibu , hususan miundombinu na baadhi ya barabara nyingi zimejengwa na zingine zinaendelea.

Gwajima hana sifa , kwani ni mbinafsi , alisema yeye kama Msukuma wanatakiwa kuwa na umoja wao (yaani ukabila) , Pili aliwatenga waisilamu kwamba hawafai na hawatakiwi kuwepo, Tatu alitutukania askofu wetu Pengo kwa lugha kali na ya kuudhi kama si kudhalilisha ., na mengine mengi !

Kwahivyo hafai
 
Naomba ukipata wasaa wa kuongea na bwana Gwajima muulize ile ahadi yake ya kuifanya misikiti iwe Sunday school imeishia wapi au ndo ameanza kuipatia maji ili akishaibadilisha asipate taabu
 
Kwa kuwa Gwajima ana uwezo wa kuwaletea Wananchi maendeleo bila hata kuwa mbunge, kuna haja gani ya kumchagua sasa ?
Wana Kawe mchagueni Halima Mdee, Gwajima mwacheni aendelee kuleta maendeleo kama Mwananchi wa kawaida mkazi wa Kawe.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Sio hata askofu huyo jamaa, ni mchezo filamu za utupu!
 
Hivi wabuge wanatengewa mafungu na bunge? Au wabunge wanakusanya Kodi?

Kama jibu ni HAPANA hili swali:- "Halima Mdee kaifanyia nini Kawe kwa miaka 10" msingi wake nin??

Hebu kila mtu atenge muda kidogo asome kazi za mbunge.
 
Kumbe Pascal anampigia kampeni Ngosha mwenzake?.
Hawajui Octoba nchi inakabidhiwa kwa Lisu na Mdee atakuwa kwenye uteuzi wa mawaziri wetu wajao?.
Tulia hivyo hivyo....wamefungwa macho ili wasione yajayo....tufauti na usukuma kuna sababu ipi ya kumsapoti huyo pornstar?
 
Kuna elements za ukabila zinainyemelea nchi yetu. Hivi mh magufuli alisema mayalla kwa kisukuma ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…