Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Soma vizuri biblia hekalu lipo wapi? MUNGU anakaa wapi ? acha kukariri
Ujanja ujanja karine hii hauna nafasi please. Tumeona wenzake akina waupako, mwingira, lwakatale, Suguye na wengine wengi maendeleo mazuri ya nyumba zao za ibada. Yeye kashindwa, ndo ataweza jimbo? Tuwe WAKWELI and more objective na sio ushabiki tuu.
 
Ujanjaujanja wa bi kidude huku jimboni kawe mwisho , atuambie kafanya nini ? Ili tumchague tena? jengo sio mbinguni ! Tafakari.
 
Siwezi kumchagua Gwajima kwa sababu tuliye mpendekeza wajumbe wamemuengua kwa vigezo vyao nakutuona sisi huku chini atujui maslai mapana ya Jimbo letu ...mwaga mboga nikanyage ugali ingawa nitaungua ila nitapona...
 
Zipo hatua za kumpitisha mgombea ubunge , iweje wewe upingane na hatua hizo?
 
Wana jamvi,

Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.

Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini
Mkuu kudamademede , don't add an insult to an injury, Wana Kawe tuko kwenye maandalizi ya send off, ya Halima, kitendo cha kuitumikia Kawe kwa kipindi cha miaka 10,anastahili send off ya heshima na sio kubezwa!.

Uchaguzi 2020 - Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

P
 
Jibu swali ? Bi kidude kafanya nini cha maana haswa jimboni kawe mpaka tumchague tena ?
Mkuu kenna ,kwa heshima ya Bi. Kidude wa ukweli, nakuomba huyu Bidada wa Kawe, usimuite Bi Kidude, huku ni kumdhalilisha Bi Kidude ambaye ni shujaa wa Taifa.
P
 
Hivi bro mayalla kweli kabisa na elimu yako jumlisha exposure uliyonayo unashindwa kutambua majukumu ya mbunge na majukumu ya serikali. Hivi mbona wasomi karibu wote mkishaanza kuwa wanachama wa kijani huwa mnapoteza uwezo wenu wa kufikiri na kuchanganua mambo?
 
Ujanja ujanja karine hii hauna nafasi please. Tumeona wenzake akina waupako, mwingira, lwakatale, Suguye na wengine wengi maendeleo mazuri ya nyumba zao za ibada. Yeye kashindwa, ndo ataweza jimbo? Tuwe WAKWELI and more objective na sio ushabiki tuu.
Chadema hawajajenga jengo la makao makuu ndio wataweza kujenga nchi?
 
Back
Top Bottom