Jibu swali ? Bi kidude kafanya nini cha maana haswa jimboni kawe mpaka tumchague tena ?Ulitaka aanze kutoa kutoa nyama choma na sahani za ugali na soda za bure ndio uite maendeleo ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali ? Bi kidude kafanya nini cha maana haswa jimboni kawe mpaka tumchague tena ?Ulitaka aanze kutoa kutoa nyama choma na sahani za ugali na soda za bure ndio uite maendeleo ??
Ujanja ujanja karine hii hauna nafasi please. Tumeona wenzake akina waupako, mwingira, lwakatale, Suguye na wengine wengi maendeleo mazuri ya nyumba zao za ibada. Yeye kashindwa, ndo ataweza jimbo? Tuwe WAKWELI and more objective na sio ushabiki tuu.Soma vizuri biblia hekalu lipo wapi? MUNGU anakaa wapi ? acha kukariri
Ujanjaujanja wa bi kidude huku jimboni kawe mwisho , atuambie kafanya nini ? Ili tumchague tena? jengo sio mbinguni ! Tafakari.Ujanja ujanja karine hii hauna nafasi please. Tumeona wenzake akina waupako, mwingira, lwakatale, Suguye na wengine wengi maendeleo mazuri ya nyumba zao za ibada. Yeye kashindwa, ndo ataweza jimbo? Tuwe WAKWELI and more objective na sio ushabiki tuu.
Zipo hatua za kumpitisha mgombea ubunge , iweje wewe upingane na hatua hizo?Siwezi kumchagua Gwajima kwa sababu tuliye mpendekeza wajumbe wamemuengua kwa vigezo vyao nakutuona sisi huku chini atujui maslai mapana ya Jimbo letu ...mwaga mboga nikanyage ugali ingawa nitaungua ila nitapona...
Mkuu kudamademede , don't add an insult to an injury, Wana Kawe tuko kwenye maandalizi ya send off, ya Halima, kitendo cha kuitumikia Kawe kwa kipindi cha miaka 10,anastahili send off ya heshima na sio kubezwa!.Wana jamvi,
Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.
Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini
Kweli , asante🤗.Mkuu kenna ,kwa heshima ya Bi. Kidude wa ukweli, nakuomba huyu Bidada wa Kawe, usimuite Bi Kidude, huku ni kumdhalilisha Bi Kidude ambaye ni shujaa wa Taifa.
P
Chadema hawajajenga jengo la makao makuu ndio wataweza kujenga nchi?Ujanja ujanja karine hii hauna nafasi please. Tumeona wenzake akina waupako, mwingira, lwakatale, Suguye na wengine wengi maendeleo mazuri ya nyumba zao za ibada. Yeye kashindwa, ndo ataweza jimbo? Tuwe WAKWELI and more objective na sio ushabiki tuu.