Je, hapa kuna kesi ya Wizi?

Na uyo jamaa kwann naye achukue simu ya watu
Hakuchukua,alipelekewa ili amsaidie kujaza nafasi ya Kazi (Tamisem na baadae Sensa) mwishowe akiwa safari ikapotea pamoja na vitu vingine kwenye bag (njian)
 
Inawezkana napo ndugu Yako alikua anamzungusha dem kumpa hio simu Mpaka kupelekea ikaibiwa na siku zngne mwambie aache kukumbatia vitu vya watu Si vzuri hii itakua hata funzo kwake
 
Inawezkana napo ndugu Yako alikua anamzungusha dem kumpa hio simu Mpaka kupelekea ikaibiwa na siku zngne mwambie aache kukumbatia vitu vya watu Si vzuri hii itakua hata funzo kwake
Hapana,changamoto ilikuwa bei ya simu aliyokuwa anaitaka mlalamikaji,simu ya 460000 lakini alikuwa anataka 1,600,000 ukizingatiwa simu ilikuwa used
 
Huyo askari atakuwa anamfanyia kisasi uyo nduguyo,anahisi jamaa huenda ndie aliyekuwa anakulachakula chake,ni heri uyo dada angelisema kwa mwenye simu kuwa kaipoteza yeye kusingekuwa na kesi hapo......Askari ana wivu mkubwa sana kwakuwa mchepuko wa demu wake kapoteza simu
 
Hapana,changamoto ilikuwa bei ya simu aliyokuwa anaitaka mlalamikaji,simu ya 460000 lakini alikuwa anataka 1,600,000 ukizingatiwa simu ilikuwa used
wewe ulijuaje kama simu ni Used,ukipoteza mali ya mtu unatakiwa uwe mpore,
 
wewe ulijuaje kama simu ni Used,ukipoteza mali ya mtu unatakiwa uwe mpore,
Upole wa aina unaongelea ndugu, kitu kikitoka dukani na kutumika kwa zaidi ya Miezi 5 sio kipya tena na value yake haiwezi kupanda badala yake inashuka, kuna Infinix ya 1,600,000?
 
Ni utoto tu,ndugu yangu kaoa, askari nae ameoa mbaya zaidi demu wao mwenyewe kaolewa na mmewe yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Upole wa aina unaongelea ndugu, kitu kikitoka dukani na kutumika kwa zaidi ya Miezi 5 sio kipya tena na value yake haiwezi kupanda badala yake inashuka, kuna Infinix ya 1,600,000?
Mlalamikaji anapoulizwa gharama ya kifaa chake hutaja gharama aliyonunulia suala la ilikuwa imechoka huwa halizingatiwi
Otherwise uwe mpole uombe kupunguziwa muelewane siyo tofauti na hapo
 
Mlalamikaji anapoulizwa gharama ya kifaa chake hutaja gharama aliyonunulia suala la ilikuwa imechoka huwa halizingatiwi
Otherwise uwe mpole uombe kupunguziwa muelewane siyo tofauti na hapo
Kesi imefutwa, jamaa ( mlalamikaji) hatokei mahakamani na wala kesi haijawahi sikilizwa.
Hana ushahidi.Tunaangalia namna ya kumpiga na kitu kizito ili liwe fundisho kwa Askari uchwara wenye kuumiza watanzania wanyonge .
 
Demu kahongwa simu na askari, na yeye kahonga kwa mdogo wako,

Hapo hakuna kesi ni kupotezeana muda tu askari anamkomoa dogo

Kwakuwa mmeweka wakili naamini atawaongoza vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…