Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezkana napo ndugu Yako alikua anamzungusha dem kumpa hio simu Mpaka kupelekea ikaibiwa na siku zngne mwambie aache kukumbatia vitu vya watu Si vzuri hii itakua hata funzo kwakeMpelelezi yupo ila ni Kituo kimoja,na hata mpelelezi alikuwa anashinikizwa tu, kesi ilivyopelekwa mahakamani na mlalamikaji kumwondoa mchepuko wake kwenye kesi na kuwa Shahidi wake, Hakimu alimwambia mashtaka yaandaliwe upya na mpelelezi,
Hadi Hakimu anajitoa kwenye kesi hati ya mashtaka ilikuwa haijabadilishwa,maana yake ni kwamba mpelelezi haoni kesi kama ilivyokuwa kwa RCO NA RPC wake ila kulikuwa na mpango ovu waliupanga Kati ya mlalamikaji na Hakimu dhidi ya mshitakiwa
Kilichotibua yote ni kumweka Mwanasheria
Hapana,changamoto ilikuwa bei ya simu aliyokuwa anaitaka mlalamikaji,simu ya 460000 lakini alikuwa anataka 1,600,000 ukizingatiwa simu ilikuwa usedInawezkana napo ndugu Yako alikua anamzungusha dem kumpa hio simu Mpaka kupelekea ikaibiwa na siku zngne mwambie aache kukumbatia vitu vya watu Si vzuri hii itakua hata funzo kwake
wewe ulijuaje kama simu ni Used,ukipoteza mali ya mtu unatakiwa uwe mpore,Hapana,changamoto ilikuwa bei ya simu aliyokuwa anaitaka mlalamikaji,simu ya 460000 lakini alikuwa anataka 1,600,000 ukizingatiwa simu ilikuwa used
Upole wa aina unaongelea ndugu, kitu kikitoka dukani na kutumika kwa zaidi ya Miezi 5 sio kipya tena na value yake haiwezi kupanda badala yake inashuka, kuna Infinix ya 1,600,000?wewe ulijuaje kama simu ni Used,ukipoteza mali ya mtu unatakiwa uwe mpore,
Ni utoto tu,ndugu yangu kaoa, askari nae ameoa mbaya zaidi demu wao mwenyewe kaolewa na mmewe yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo askari atakuwa anamfanyia kisasi uyo nduguyo,anahisi jamaa huenda ndie aliyekuwa anakulachakula chake,ni heri uyo dada angelisema kwa mwenye simu kuwa kaipoteza yeye kusingekuwa na kesi hapo......Askari ana wivu mkubwa sana kwakuwa mchepuko wa demu wake kapoteza simu
Mlalamikaji anapoulizwa gharama ya kifaa chake hutaja gharama aliyonunulia suala la ilikuwa imechoka huwa halizingatiwiUpole wa aina unaongelea ndugu, kitu kikitoka dukani na kutumika kwa zaidi ya Miezi 5 sio kipya tena na value yake haiwezi kupanda badala yake inashuka, kuna Infinix ya 1,600,000?
Kesi imefutwa, jamaa ( mlalamikaji) hatokei mahakamani na wala kesi haijawahi sikilizwa.Mlalamikaji anapoulizwa gharama ya kifaa chake hutaja gharama aliyonunulia suala la ilikuwa imechoka huwa halizingatiwi
Otherwise uwe mpole uombe kupunguziwa muelewane siyo tofauti na hapo
Ata uyo dem nae ni kiazi tu