Je, hapa ndipo anapoishi Issa Michuzi?

Je, hapa ndipo anapoishi Issa Michuzi?

Inawezekana kwani nimetambua hiyo T-shirt ya mchapakazi na mpambanaji (Michuzi) na ninadhani picha hiyo niliiona kwenye blog yake jana na ilipigwa na Dina Marios wa Clouds FM.

Je kama dobi (dhobi) wake anakaa hapa na yeye alileta nguo kufuliwa?
 
hiyo picha ni nyumba ya mdada alokwenda sutwa,na wasutaji walikwenda na mganda aka matarumbeta etc,etc.Dina Marios analikuwepo,..
 
oooh kwani umeona ile T.shirt anayoipenda kaanika tayari kwa kwenda nayo kwenye matukio
ngoja nikamuite aje atuthibitishie 😉
 
aliyepost hii alitaka watu waweze kuchambua kuwa ndiyo hayao Mtanzania anatakiwa aishi? Ijapokuwa ni afadhali kuliko kijijini lakini je napo ni kitu cha kujivunia? Tuna kazi kubwa sana mbele yetu kwani makazi hayo anaishi mtu na inwezekana ni mfanyakazi wa umma sana sana mwalimu kwani anajitahidi kuwa msafi kama kioo cha jamii. Lakini kwa hiyo mishahara yao wataweza "kupindua" maisha?
 
Hapana kwani nadhani ile tshirt ya Michu haifuliwi na kama hufuliwa huoshwa only usiku(kauka nikuvae!)
 
I can read your signature! Its NOT your fault! People like you deserve a massive punishment!

About privacy, on JF people dare to talk openly as long as there is a need! He is a front runner in our society unlike Jerry Muro. So let us hit all hot spots!

Would you mind to excuse us if you are offended?

First of all, you -and your sorry undirected ilk- do not have an iota of the intellectual capability required to even begin to dream of offending me, let alone to actually offend me.
I am not even sure you can understand that.

Second, you may be able to read, but I seriously doubt your comprehension skills.You pose the notion that "it is NOT your fault" yet at the same time you also write "People like you deserve a massive punishment". This is a huge contradiction, how can you punish somebody not in fault? What kind of a monster are you?

On your "need" to talk openly, you clearly failed to show this society the need for this thread, which was the basis of my post. You said peoplecan talk freely as long as there is a need.JF values privacy tremendously, what is this urgent need that violate another's privacy this much?
 
kwani akiishi hapa kuna issue!
kwani nani anatakiwa kuishi Hapa? kuna watu maalumu kwa ajili ya makazi haya?
Kupanga ni kuchagua!
 
Viongozi wetu wanatakiwa wawe wa mfano kama huu.Wasijilimbikizie mali..........teh teh
 
kwani akiishi hapa kuna issue!
kwani nani anatakiwa kuishi Hapa? kuna watu maalumu kwa ajili ya makazi haya?
Kupanga ni kuchagua!

Wanamuonea gele ana dish juu ya nyumba, unaliona hapo?

Frankly speaking I believe this is just a cruel joke on Michuzi. Nevertheless, it does not mean that it should be open season.It is a bit of some hodgepodge of tired oxymoronic lowbrow elitism. Almost like saying I am better than the people who live in this shack.

Freud would even say most are doing this unconsciously, and Jung, in a rare agreement, would venture that they most probably came from an even worse habitat.
 
First of all, you -and your sorry undirected ilk- do not have an iota of the intellectual capability required to even begin to dream of offending me, let alone to actually offend me.
I am not even sure you can understand that.

Second, you may be able to read, but I seriously doubt your comprehension skills.You pose the notion that "it is NOT your fault" yet at the same time you also write "People like you deserve a massive punishment". This is a huge contradiction, how can you punish somebody not in fault? What kind of a monster are you?

On your "need" to talk openly, you clearly failed to show this society the need for this thread, which was the basis of my post. You said peoplecan talk freely as long as there is a need.JF values privacy tremendously, what is this urgent need that violate another's privacy this much?

Ndugu Kiranga!
Natumai hiyo quote yako ni utani tu na humaanishi iliyoyasema! Otherwise, you will be schocked...Ubarikiwe!(Seriously, how can you be a prophet to no one??)..Au mniambie, siku hizi Mirembe kuna net??am so mad..nisameheni! naishia hapa..
 
Back
Top Bottom