Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie.

Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil, chaajabu nyama inachurusika mafuta hatari.

Je huyu ni mbuzi kweli?
 
Ifungue mkuu, kitimoto huwa inajulikana tu maana kama umejua huwa inachuruzika mafuta bhasi ukiliona futa lenyewe utalijua..

Na pia tafuta mkristu umpe au unaogopa kufuturisha kitimoto.. Kama unaogopa, irudishe ulipoitoa au nipe lokesheni 😁
 
Ukiichukua uniletee na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…