Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie.

Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil, chaajabu nyama inachurusika mafuta hatari.

Je huyu ni mbuzi kweli?
Huyo ni mahi wetu muache
 
Kula tu, usipotapika ujue ni mwenyewe huyo hotchair
 
Ukizoea kula nyama bar nguruwe lazima ulishwe si wanashare sahani Za kupakulia
 
Back
Top Bottom