Mtoa mada kapiga k-vantNonsense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada kapiga k-vantNonsense.
Mkuu unamtaja mond mala ngap kwa mwez na yy anakutaja mala ngap kwa mwaka. Hpo ndo utajua bos au lawanaoogopa kumkosea heshima mond ni akina zuchu na wafanyakazi wake humo ndani wcb,ila huku kwingine mondi ni msanii tu kama wengine,sio boss wao.
Mkuu unamtaja mond mala ngap kwa mwez na yy anakutaja mala ngap kwa mwaka. Hpo ndo utajua bos au la
🚮🚮🚮🚮tofauti na mond ni nani anamzidi kiba hela!!!
au kwa vile hajanunua rolls royce mpya ya 2022[emoji16][emoji16]
kifupi umempa sifa mond sifa za kiba,kiba ndiye msanii ambaye ana maisha ya kukerea sana.
🚮🚮🚮🚌View attachment 2032408
thimba wa tandale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti alikiba apambanishwe na kina afande seleKumfananisha kiba na dai ni kumkosea heshima dai na kumpa kiki kiba. Dai ni kizaz kipya ilihali kiba ni old model ambaye anatakiwa apambanishwe na kina Afande sele . All in all mbowe sio gaidi
Uzi umejaa hisia kuliko uhalisia naona huyu dada akiusoma uzi wako nina uhakika atakucheka.