Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

ila hata kama mange mkorofi lakin hajawahi kuweka tofauti zao hadharani sasa frank ndio nini kupost kashfa vile kwa baby mama wake? ila kichambo akichopewa sidhan kama atarudia maana hata post kafuta

nikimwambia Nyani Ngabu kuwa Mange hakurupuki.....hanisikilizi........
 
Licha ya kuwa ni Ex boss pia alichumbiwa na Mkongo.
 
Marekani watu wanaimba hadi makoo yanawakauka lakini hawatokii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora awe daktari tu atapata kazi yake atengeneze life yake. ....kuimba my leg
Ila kuna wanaume mapunguwani wa head, hivi Frank zimo kweli!!
 
ila hata kama mange mkorofi lakin hajawahi kuweka tofauti zao hadharani sasa frank ndio nini kupost kashfa vile kwa baby mama wake? ila kichambo akichopewa sidhan kama atarudia maana hata post kafuta
Nilijua nikikukosa hapa basi utakuwa umejitoa jf[emoji12] [emoji12]

Suala linalohusu watoto ni sensitive sana jamani, suprizingly alieanza huo upuuzi eti ni mwanaume!! Ngachoka.
 
Mkuu wachanga na ufundi kitandani wapi na wapi?!

ukiwa busy unakata mauno unamsikia "yesu wangu shiiiiii yesu na Maria" huku akikata tumbo badala ya kukata kiuno
hahahhahahaah acha fujo weweeee
 
Acha waendelee kusambaziana ukimwi wee mpk wachoke
 
Mkuu wachanga na ufundi kitandani wapi na wapi?!

ukiwa busy unakata mauno unamsikia "yesu wangu shiiiiii yesu na Maria" huku akikata tumbo badala ya kukata kiuno
Unataka ufundi wa kitandani wkt huna hela,tafuta hela mkuu wakikuona wenyewe tu wanapiz fasta kabla hata hujawashika
 
Hawa ni watu wawili kabisa wasioendana nani ambaye hakulijua hili tangia mwanzo;
Kwanza mwanamke tunajua woote kwamba ni 'team ya Taifa' kila mchezaji mzuri anaweza kujiunga nayo wakati wowote na kuondolewa au kuondoka mwenyewe.Pili kijana wa watu ndo alipenda zaidi sio kwamba alipendwa...katika historia ya mapenzi duniani hii imethibitishwa koote duniani ni kama wewe ndo wa kwanza kumpenda mwenzako lazima utampenda kuliko yeye na mara nyingi matokeo yake yeye huwa ndio wa kwanza kukuchoka wewe and vice versa is true...tatu kijana pamooja na yote bado hajajipanga sawa kuwa na Team ya taifa angeanza kwa kujiunga na team za mchangani mbona zipo kibao na zina viwango vya khali ya juu kuliko team ya taifa ambayo imeshageuzwa shamba la bibi.
 
Unataka ufundi wa kitandani wkt huna hela,tafuta hela mkuu wakikuona wenyewe tu wanapiz fasta kabla hata hujawashika
Acha papara mkuu.

Sizungumzii mambo ya kumkojoza mwanamke hiyo ni kazi ya Gadna kwa Jide....Mimi nazungumzia viuno na ufundi wa mwanamke kitandani.

Ongeza kidogo uelewa Acha papara.
 
Haukuwa uhusiano rasmi ulikuwa ni mkataba maaluma na mkakati wa wcb kumpa kiki kijana harmonize.
Bila shaka mkataba umekwisha sasa na wolper keshakunja chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…