Nani kukuambia kuwa hawatoki, wanamiliki mamilioni ya dola waleMarekani watu wanaimba hadi makoo yanawakauka lakini hawatokii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora awe daktari tu atapata kazi yake atengeneze life yake. ....kuimba my leg
[emoji44][emoji44][emoji44]wabongoNani kukuambia kuwa hawatoki, wanamiliki mamilioni ya dola wale
Naona hazimoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kuna wanaume mapunguwani wa head, hivi Frank zimo kweli!!
haa haa utanikosaje hapa sasa!! yaani frank machozi jana kaniacha hoi....nilivyoona ile post tu nikakaa stand by nasubiri jibu la mangeNilijua nikikukosa hapa basi utakuwa umejitoa jf[emoji12] [emoji12]
Suala linalohusu watoto ni sensitive sana jamani, suprizingly alieanza huo upuuzi eti ni mwanaume!! Ngachoka.
Pale Wolper alikuwa anataka kupunguza machungu yake tu.Mi mbona yule mshikaji wangu kwa mama yake anawapeleka kila aina ya wanawake kuwatambulisha?
Kutambulishwa au kuvishwa pete si ishara ya ndoa, ndoa ya dhati inatoka moyoni.
Hivi tuwe wakweli tu, ni kweli huyo Wolper anakipenda hicho kitoto au ana interest zake tu?
Mie nilivyoiona sio siri nilimdharau mpaka basi.haa haa utanikosaje hapa sasa!! yaani frank machozi jana kaniacha hoi....nilivyoona ile post tu nikakaa stand by nasubiri jibu la mange
Watu wanakana na hata kuwaua watoto wao seuze kutia chumvi katika mgogoro au mvutano na mzazi mwenza?Yaani nimemuamini 100%....sidhani kama kwenye swala la mtoto....kuna mtu anaweza leta utani wa kijinga........
Hakurupuki kivipi?nikimwambia Nyani Ngabu kuwa Mange hakurupuki.....hanisikilizi........
Kwahiyo weka muziki ya darasa imeuwa kick zote mpaka kwa boss wao!!Haukuwa uhusiano rasmi ulikuwa ni mkataba maaluma na mkakati wa wcb kumpa kiki kijana harmonize.
Bila shaka mkataba umekwisha sasa na wolper keshakunja chake
Ahahahahaaa....umewaona eeh?"unabisha nini wakati Mange ametuambia" πππ
Hakurupuki kivipi?
Keshatoa ushahidi kuwa Magufuli alimpiga mkewe?
Au nawe ndo mmoja wa wale ambao hata hamuhoji chochote kinachoandikwa na Mange?[emoji23] [emoji23]
'We unabisha nini wakati Mange ametuambia' [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahaaa....umewaona eeh?
Yaani wao Mange akishasema tu, basi. Maneno yake ni gospel truth....
Hahahaaa kaazi kwey kwey yaaani.
π΅
Mangi Kinambi hajawahi kuandika uwongo kabisaKwa hiyo umeamini mazima kabisa alichokisema/alichoandika huyo Mange kuwa ni cha kweli na kwamba hajaupindisha ukweli wala kuongeza chumvi?