Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mangi Kinambi hajawahi kuandika uwongo kabisa
mamy nitumie hata inbox mana nimeusaka mpaka kichwa kinauma [emoji23] [emoji23]Yani usiku wa manane nimejipinda afu wao wameufuta
Ukikuta demu anashabikia ufipa ujue hamna kitu hapo.
Naunga mkono hoja..wanzishiwe jukwaa la umbeyaJamii forum waanzishieni awa watoto jukwaa la umbea
Tafadhari naomba unifamishe Frank alianza kuandika nini maanake huu ubuyu fungua mwaka.haa haa utanikosaje hapa sasa!! yaani frank machozi jana kaniacha hoi....nilivyoona ile post tu nikakaa stand by nasubiri jibu la mange
MagumegumeKama kichwa cha habari kinavyouliza;Je inawezekana mtoto mzuri wa kichaga ambaye anapelekeshwa Puta na kilevi aina ya 'Whiskey' akawa amefikwa 'Hapaaa!' Na penzi tamu la mtoto wa Kimakonde?
View attachment 454370
Wachanga na mapenzi wapi na wapi...wolper kila siku anaachwa tu.ana shida gani huyu
Natabiri....Huo Wimbo usipoitwa "Jimama Love" Basi utaitwa "Nimeachwa"kuna wimbo mpya unakuja
Huyu mbibi alitegemea ataolewa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huyo Wolper anawakilisha wanawake wengi walio mtaani wanaoachwa kila baada ya miez mitatu, sema huyo Wolper ni msanii tu anawawakilishawolper kila siku anaachwa tu.ana shida gani huyu