Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

MWENYE namkubali sana mtoto wolper. Sema kitaa tofauti si unajua singeli na blues two things different.
 
089a359b17c97cfd859de71f753572b2.jpg
 
haa haa utanikosaje hapa sasa!! yaani frank machozi jana kaniacha hoi....nilivyoona ile post tu nikakaa stand by nasubiri jibu la mange
Tafadhari naomba unifamishe Frank alianza kuandika nini maanake huu ubuyu fungua mwaka.
 
Naskia dogo hamonize kachomoa kula ndogo, ndio ugovu umeanzia hapo... ila mie siamini asee
 
wolper kila siku anaachwa tu.ana shida gani huyu
Huyo Wolper anawakilisha wanawake wengi walio mtaani wanaoachwa kila baada ya miez mitatu, sema huyo Wolper ni msanii tu anawawakilisha
 
dogo janja aliimba hiv '' mapenz ya sinema ni ya harmonize na wolper kiki naogopa'' 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
WCB kama hawajavujisha wimbo wao wenyewe basi lazima wa-create stunt ili watoe ushuzi wao naona mdogo wangu Harmonize anataka kuachia ngoma huu utaratibu wao ni wa kibata kweli.
 
Back
Top Bottom