Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

niadisieni mwenzenu....nitakufa na kihoro mjue.......@Dinazarde.......
[emoji23][emoji23][emoji23]Mange kamchamba baba Bhoke hatariii nenda kwa page yake insta bado hajafuta
 
nimeiona shosti....ila Mange ana point pale......swala la baba kusema mtoto awe mwimbaji.....kwangu NO....asome kwanza......awe na career yake......uimbaji utajichanganya huko huko.....
ila duh......kazi kweli kweli......
 
Amini nawaambieni msiwaamini bongo movie kama vile itakiwavyo kutowaamini wanasiasa....
 
nimeiona shosti....ila Mange ana point pale......swala la baba kusema mtoto awe mwimbaji.....kwangu NO....asome kwanza......awe na career yake......uimbaji utajichanganya huko huko.....
ila duh......kazi kweli kweli......
Marekani watu wanaimba hadi makoo yanawakauka lakini hawatokii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora awe daktari tu atapata kazi yake atengeneze life yake. ....kuimba my leg
 
Kick hizo utasikia anatoa ngoma mpya hiv karibun,kama ilivyokuwa young dee wanasema karudia unga jana kaachia ngoma mpya!...mziki wa kick.!..
 
nimeiona shosti....ila Mange ana point pale......swala la baba kusema mtoto awe mwimbaji.....kwangu NO....asome kwanza......awe na career yake......uimbaji utajichanganya huko huko.....
ila duh......kazi kweli kweli......

Kwa hiyo umeamini mazima kabisa alichokisema/alichoandika huyo Mange kuwa ni cha kweli na kwamba hajaupindisha ukweli wala kuongeza chumvi?
 
ila hata kama mange mkorofi lakin hajawahi kuweka tofauti zao hadharani sasa frank ndio nini kupost kashfa vile kwa baby mama wake? ila kichambo akichopewa sidhan kama atarudia maana hata post kafuta
 
Mmmh kila bwana anamzingua yeye tu? Anaeza kua na kijikasoro huyu si bure au 6×6 ni mweupee au ana kijiharufu flani ivvv sipo serious saana
 
Kwa hiyo umeamini mazima kabisa alichokisema/alichoandika huyo Mange kuwa ni cha kweli na kwamba hajaupindisha ukweli wala kuongeza chumvi?

Yaani nimemuamini 100%....sidhani kama kwenye swala la mtoto....kuna mtu anaweza leta utani wa kijinga........
 
Back
Top Bottom