Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

Ukikkt demu anashabikia ufipa ujue hamna kitu hapo.
Yaani huyo demu Lumumba mlimsajili kwa ela nyingi Na kumpa nafasi ya kuutubia kwenye mkutano mkuu Wa chama mbele ya mwenyekiti
 
Upuuzi mtupu kwa kiki za kijinga,Hata kwa kiki Darassa kakalisha,watulie kwanza Darassa aweke muziki.
 
Mkuu wachanga na ufundi kitandani wapi na wapi?!

ukiwa busy unakata mauno unamsikia "yesu wangu shiiiiii yesu na Maria" huku akikata tumbo badala ya kukata kiuno
ha hahaahhahhaaaaaaaaaaaa mama yangu
 
Haukuwa uhusiano rasmi ulikuwa ni mkataba maaluma na mkakati wa wcb kumpa kiki kijana harmonize.
Bila shaka mkataba umekwisha sasa na wolper keshakunja chake
Sawa sawa we jamaa unaelewa mambo...

Yani kene ile couple huo ndio uhalisia ...
Na tuna wasi wasi huyu jamaa hakula hata mzigo kwa sababu hiyo kupo ilikuwa ni ya show off tu kwenye sosho media ili kumpa upopular huyu ndugu yetu hamoni.....
Bongo bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom