Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (bodaboda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.

Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
 
Hapana, cyo petrol isipokuwa mazoea ndyo changamoto
 
Inabidi wataalamu wetu wafanye research juu ya hili
 
Honi kwao ndio breki.. unamkuta yupo 100 anapiga honi tu hata kama mbele kuna shida ye honi tu.. wao ukisikia breki kinachofata ni mlio wa kubum...🀣
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…Wapuuzi Sana Boda Yaani Bure Kabisa
 
na kitank cha petroli kipo mbele pale akibugia tangu asubuh hadi Jioni umelewa vizur sana hawezi kuona mataa wala mashimo.

Kwa mwaka akili inakua imelewa chakari na anakua na tamaa ya kufa na kifua kimelegea
 
🀣🀣🀣 wengine arobaini na tisa elfu wamekimbia mtihani wa kumaliza darasa la saba jana
Wanapiga jaramba kuanza kazi ya bodaboda mkoani kigoma
🀣hawa mafisa usafirishaji wana tamaa ya kufa kwa haraka sana dah
 
Asilimia 99.5 ya waendesha Boda boda ni wavuta BANGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…