Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?

Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?

"Tenki la mafuta lihamishiwe nyuma. La sivyo wataisha hawa waduwanzi" mlevi mmoja alisikika tukiwa tunashuhudia bodaboda aliyesambazwa ubongo kwenye lami njiapanda Tinde. 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom