Je, hatuwezi sasa kubuni na kutengeza Gari za sola !?

Je, hatuwezi sasa kubuni na kutengeza Gari za sola !?

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari za leo waungwana !.

Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo vya moto vitakavyotoa huduma mikoa hiyo; ambavyo vitakuwa vinajiendesha kwa Sola !?..

NB
1. Mabasi ya abiria
2. Magari ya mizigo
3. Magari na Pikipiki binafsi

Karibu
 
Mbona gari zipo, Kuna project niliona zile landacruzer za Utalii zinafungwa solar panels zinaendesha gari hapa Tanzania, kwahio inawezekana
 
Nadhani ni ngumu sana kwa teknolojia ya sahivi kua na solar cars ambazo ziko practical. Sijui kama nitakosea ila:

Gari kutembea kilometa 100 inahitaji angalau power ya 15-20 kWh, wakati solar pannels inayotosha roof ya gari itagenerate 1-2 kWh kwa siku, tena siku ya jua kali. Ni kama 5-10 km kwa siku.

Kwa sababu iyo, surface area ndio mchawi. Solar inahita eneo kubwa sana.

Kwa tech ya sasa, solar pannel nyingi zina efficiency ya 25% hivi, imagine.

Na still zitahitaji battery (kama EV tu) kwaajili ya backup, maana bila battery inamaana usiku haitembei.

Ata hivyo magari ya Solar yapo, cheki Lightyear 0 na Aptera Solar EV.

Kwahiyo sasa hivi zinatumika kama Range Extender,
 
Wazalishe nyingi sasa
Ilikua project ya Kampuni moja ya Tours na Kampuni ya Ujermani hivyo walibadilisha gari zao tu za kampuni, nadhani serikali zikiamua inaweza kufanya kwa ukubwa, nimeangalia wanasema ikijaa full battery unatembea masaa 12 porini bila shida na walishaanza kuzitumia
 
Habari za leo waungwana !.

Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo vya moto vitakavyotoa huduma mikoa hiyo; ambavyo vitakuwa vinajiendesha kwa Sola !?..

NB
1. Mabasi ya abiria
2. Magari ya mizigo
3. Magari na Pikipiki binafsi

Karibu

View: https://youtu.be/ZyII3u3czFg?is=zRN_S_HuYGcP9VQb
 
Back
Top Bottom