Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Wazalishe nyingi sasaMbona gari zipo, Kuna project niliona zile landacruzer za Utalii zinafungwa solar panels zinaendesha gari hapa Tanzania, kwahio inawezekana
Ilikua project ya Kampuni moja ya Tours na Kampuni ya Ujermani hivyo walibadilisha gari zao tu za kampuni, nadhani serikali zikiamua inaweza kufanya kwa ukubwa, nimeangalia wanasema ikijaa full battery unatembea masaa 12 porini bila shida na walishaanza kuzitumiaWazalishe nyingi sasa
Habari za leo waungwana !.
Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo vya moto vitakavyotoa huduma mikoa hiyo; ambavyo vitakuwa vinajiendesha kwa Sola !?..
NB
1. Mabasi ya abiria
2. Magari ya mizigo
3. Magari na Pikipiki binafsi
Karibu